DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Mruhusu aje kwangu nimpooze machungu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mruhusu aje kwangu nimpooze machungu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuja kufungua mwenyewe [emoji23][emoji23]Code code
Nakuona tu humu. Mzima ww? Mimi mzimaSalamu na zikurudie pia. Za kupoteana humu?
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Code code
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aku...vijana wenzangu saiv.
NimemruhusuMruhusu aje kwangu nimpooze machungu.
Niko sawa kabisaNakuona tu humu. Mzima ww? Mimi mzima
Hivi ukimpa wa kujaribu na tunda si anakula?Unakua humpati wa kumpa moyo unapata wa kujaribu siku mbili 3 unaachana nae
Hapana. Anakula mmoja kati watanoHivi ukimpa wa kujaribu na tunda si anakula?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuseme inategemea umevurugwaje....Hapana. Anakula mmoja kati watano
Sasa na ulivyo si wanajaribu mia kwa mwez??Hapana. Anakula mmoja kati watano
Ewaaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuseme inategemea umevurugwaje....
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuseme inategemea umevurugwaje....
Hahahahhaaaa. Si mpaka nipate wa kumpa niyo nafasiSasa na ulivyo si wanajaribu mia kwa mwez??
NakaziaAsante, tutambue tu kuna watu wanakuja kwneye maisha yetu kama baraka wengine huja kama mafundisho. Ukianguka unanyanyuka unajifuta vumbi unaendelea mbele, yeye si wa kwanza na wala hawezi kua wa mwisho,
Kubwa na cha msingi ni kujua hakua riziki yako pamoja na kujitoa kwake kwa hali na mali, utapata atakayejua thamani ya machozi yako na kukupa upendo mara mbili ya ulioutoa
Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee kubali hali, lia unavyoweza hakikisha ukitoka hapo hulii tena then move on with your life.
Haaa jamn yamekua hayo,,,,huo uzi tu babeNa utaniambia ni mchepuko yupi uyo uliobreak up nae
I think there is mchepuko somewhere umempiga kibuti bby wangu
[emoji23] [emoji23] hii pole ni yangu mkuu?