Phenomenal woman
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 334
- 654
Kama ukipenda kweliii... Mkaachana!! Then utajua mapenzi yanaumaaaa.... Issa physical pain wallah..
Ipo ipo tu. Haiko rasmiBado haijawa rasmi?
Nilitaka kushangaa mkuu, mzidi kudumu kwakweliHapana mkuu mimi na bebe jj tupo vizuri mnoo
Umesahau kulia!!! Mwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]samak samak inajua mengiYani ndo yalizidi. Nikilewa nasikiliza mziki nalala.
Sasa hivi hata sishtukii.Kwa sasa umeshazoeeèe
Poleee sana,,wew unaonyesha uliumia sanaKama ukipenda kweliii... Mkaachana!! Then utajua mapenzi yanaumaaaa.... Issa physical pain wallah..
WoiiiiIpo ipo tu. Haiko rasmi
Wewe ulikua unanisema sana. Yamekufika sasa hiv unajitia unaelewaKama ukipenda kweliii... Mkaachana!! Then utajua mapenzi yanaumaaaa.... Issa physical pain wallah..
Miaka buku mkuuNilitaka kushangaa mkuu, mzidi kudumu kwakweli
Tupe ubuyu huo hahaha yeyw hafunguki vizurUmesahau kulia!!! Mwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]samak samak inajua mengi
DaaaaaBahati hiyo mnayo mlopenda wengi. So far nimepata break up mbili tu kwenye maisha yangu. Ingawa moja wapo ni complicated.
Trust me... Kuumia is under statementPoleee sana,,wew unaonyesha uliumia sana
Zile club za mjini zinamachozi yangu mengi sanaUmesahau kulia!!! Mwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]samak samak inajua mengi
Kupigwa kibuti sioo sababu ya wewe kuzeeka kwa vilio vya masononeko na lawama za Why me Lord Why me kama Shaggy..Tabasamu lako lazima liendelee kipindi cha Jua au kipindi cha mvua..Hakuna Binadamu mwenye kauli ya mwisho kwa furaha na smile yako,There is life still after a break up,kama alivyokuja kwenye maisha yako na kukukuta unasmile muache aondoke peke yake na aliache smile pale alipolikuta..Usimfanye ajihisi yeye ndo malkia saaaanaaa,au yeye ndo mfalme kiivyo,kwamba alipoondoka maisha yako yame-shake,kwani yeye ni nani??Alichangia hata koleo moja kwenye karai la udongo aliotumia Mungu kukuumba???Tupa kule...
Ladies and Gentlemen,Keep smiling always no matter what,wewe ni kama ATM ya NMB,People will always come in,withdraw money and go,Huna haja ya kumlilia mpuuzi yeyote asiyejua thamani ya Penzi lako!
Kamata glass tugonge cheers[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
Amen[emoji120]Miaka buku mkuu
Nimekumbuka mengiiii hapa.... Kipindi kile nlikua naona huna akili... Una mlilia mtuuu mxxxuiiZile club za mjini zinamachozi yangu mengi sana
2014 niliweka konyag ile size kati mdomoni,nikaipiga kama maji yote bila kutoa,,,yani nilifanya vitu vya ajabu hii msg isikie tu kwa watuYani ndo yalizidi. Nikilewa nasikiliza mziki nalala.
Nini sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woiiii
Ulitaka ku commit suicide ?Trust me... Kuumia is under statement
Hahahahahaaa. Niko single lakiniDaaaaa
Nmebak mdomo wazi hapo kwenye complicated rltnshp