Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Wewe unakonda,yeye ananenepaaa kwa maaawaazoooo (in ile bendi's voice)Kuachwa sio rahisi na wala si ngumu kama unavyofiria
Mbaya zaidi kwa yule unaempenda au anaekupenda
Wewe unakonda,yeye ananenepaaa kwa maaawaazoooo (in ile bendi's voice)Kuachwa sio rahisi na wala si ngumu kama unavyofiria
Mbaya zaidi kwa yule unaempenda au anaekupenda
NakaziaNdo hivyoo. Wale tunaojua kupenda kweli hatuwezi kureplace mtu miezi mitatu sijui sita after break up
[emoji23] [emoji23] daaahI think there is mchepuko somewhere umempiga kibuti bby wangu
Naunga mkonoHakuna anaependa kuachana, hakuna anaetarajia kuachana, kuna situation ikikufika huna budi ukubali tu kuachana ndio last option, nikupe mfano, umekua na mpenzi wako mmedumu miaka chungu nzima lakini kila unachofanya kwake sicho pengine amekua akikupa alama za kuonesha haupo moyoni mwake umejitahidi kusema mtu habadiliki na bado awe mwiba utavumilia had lini? Why uumie kila siku usononeke kila siku??
Khalid chokoraa [emoji23]Wewe unakonda,yeye ananenepaaa kwa maaawaazoooo (in ile bendi's voice)
Una ushuhuda najuaKweliii kabisa... But trust me its hard....unajua chakufanya or unachotakiwa kufanya ila unashindwaa....
Yes bby
NawaonaThere you are......
True love never dies.
Eeeh tuko mubashara na bby wanguNawaona
[emoji23] [emoji23] daaah
Niambie vizur aiseeeHaaa jamn yamekua hayo,,,,huo uzi tu babe
Mapenzi mapenzini utamu kunogaEeeh tuko mubashara na bby wangu
heeeHahahahhaaaa. Si mpaka nipate wa kumpa niyo nafasi
Wachaa weeEeeh tuko mubashara na bby wangu
Ahahaha nimecheka kwa nguvuEeeh. Tukichoka tumechoka. Unavumilia weee mpaka baadae unaona kwanin ubebane na zigo la nya
Nawapa waliochika hope yakuishi kwa furaha tenaNiambie vizur aiseee
Kwema ?Nawaona
Kabisa, au unajikuta wewe ndio unapiga sim tu, unamjali mtu wewe pekee, akiumwa masa 24 unauliza unaendeleaje, yan wewe unajinyima yeye awe better na bado jitu halioni hapana kwa kweli,Wew tu ndio unaetia ugumu... Sasa jitu halikujali, halikuthamin, wala kukuheshimu utaling'ang'ania tu, shikilia uliposhikiliwa. Km anazingua muache aende yeye si mzazi wako.
Akikujib unitagSio ujumbe kwa mtu huu mkuu?
Hadi umpate alie sahihiInashauriwa kujipa break after break up, tena uwe break had uone mwenyewe sasa huu ndio muda sahihi wa kuingia tena