Sugu,Proffesor Jay, Mwana FA - Maisha, Hip Hop na Siasa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,874
Peace and Much Love Family,

Karibu kwenye hii Deep Study juu ya majabali watatu wabobezi kabisa wa taaluma Ijulikanayo kama Emceein inayopatikana ndani ya Utamaduni wa Hip Hop.

Lengo kuu la makala hii ni kuongeza uelewa juu ya Utamaduni wa Hip Hop kwa kupitia ushiriki wa watu hawa watatu.

Kwenye kila Taaluma kuna watu kadhaa ambao wanaweza wakatumika vyema mbele ya Umma kuelezea nini taaluma hiyo inawakilisha na ikitokea mtu amefanikiwa kwenye Taaluma hiyo alama za mafanikio hayo ni zipi.

Inapokuja Taaluma ya Emceein kwa nchi yetu ya Tanzania, basi majina haya matatu Sugu, Professor Jay na Mwana-FA ni watu sahihi kabisa kuelezea mafanikio ya Taaluma hii.

Kupitia ushiriki wa watu hawa watatu, tutaenda kujifunza Deep kabisa ni kwa namna gani kama kijana unaweza ukajikita kwenye Hip Hop kuanzia kule chini kabisa na kisha kuyafikia mafanikio ambayo kila mtu atajivunia, wananchi wa kawaida na Serikali ya nchi pia.

Sugu ni kama Jogoo, yaani Jongwe huyu ndiye ambaye alitumika kuwaamsha Emcee wa Tanzania katika usingizi mzito wa ufukara na kuwaambia Yo! We can make this thing work for us. We can be paid good Money just for doing Rap. We can voice our opinion to things that matter. We can earn respect by doing Rap.

Baada ya Jogoo( Jongwe) hili Sugu kuwika wengi waliamka na kila mmoja kuongeza juhudi za kujitafuta na kujipata vyema kupitia muziki wa Rap.

Nataka tuwatumie watu wangu watatu hawa kama “Teachable Moment” juu ya Hip Hop Kulture na hii itakufanya hata wewe ambaye labda sio Hip Hop at least upate uelewa wa nini ambacho Hip Hop inawafundisha watu wake.

Somo litakuwa refu, hivyo andaa popcon za kutosha na ukifanikiwa kuwa nami mpaka mwisho I will move your mind to another dimensions.

Kitu cha kwanza kwa Emcee yoyote anapoanza kujitambua kwamba yeye ni Emcee, kwanza kabisa tunaanza kwenye jina.

Ni Kawaida kwa wanadamu wote kupewa majina na wazazi wao pindi wanapozaliwa. Wazazi wanakuwa na sababu zao za kukupa jina husika.

Wazazi wa Jongwe walimuita Joseph Mbilinyi, wazazi wa Professor Jay walimuita Joseph Haule na wazazi wa Mwana-FA walimuita Hamis Mwinjuma.

Ni kawaida pia ukiingia kwenye Utamaduni wa watu wengine kupewa jina linalotokana na utamaduni huo. Kwenye Imani za dini utapata majina ya dini hizo. Hii ni ritual ya kuonyesha wewe ni sehemu ya Utamaduni huo.- Ubatizo

Hivyo hivyo ukija kwenye Hip Hop, unahitaji jina lingine, jipya kabisa au kama lile lile basi ni sawa lakini wewe kama mshiriki it is your decision, hata kama kuna mtu atakushawishi kutumia jina flani lakini ni lile ambalo hata wewe utakubaliana nalo.- Our Difference.

Kitu cha msingi hapa ni kujua WHY are we doing this. Hii ni Ritual kama zilivyo Ritual zingine kwenye Kulture zingine, Jina ni sehemu muhimu sana ya mafanikio au maanguko yako. Choose wisely.

Hivyo basi tutaanza na namna gani hawa wabobezi watatu waliweza kuchagua majina tunayowafahamu nayo na baada tu ya hiyo Ritual maisha yao yalibadirika kwa namna gani.

Ni kawaida pia ndani ya Hip Hop mtu kubadirisha majina kila ambapo anaona ametoka hatua moja kwenda nyingine, au hata kama yupo kwenye hatua ile ile lakini mtazamo wake unamuonyesha anahitaji kufika sehemu nyingine na jina alilonalo anaona halimtoshi.

Sitaenda Deep hapa kukuelezea juu ya Supreme Alphabet na kwanini mtu kama Kanye West aliamua aliache jina hilo na kutumia jina Ye na nini kimetokea baada tu ya kubadirisha jina hilo. Unapobadirisha jina you change your frequency. -Elewa hilo.

Tukianza na Sugu, tulimfahamu kama 2 Proud alipokuwa 2 Proud aliishi kama 2 Proud alifanya aliyofanya kama 2 Proud. Then the Enlightment spark came na akasema tumuite “Mr 2” na alitumia Ritual hiyo kwa kutoa Album yenye jina hilo. “Niite Mr II”

Akafanya tena the same Ritual kwenye Album ijulikanayo kama “SUGU” na tukamuita Sugu na alitoa sababu za kutosha ya kwa nini tumuite Sugu.

Na kama hujui kwenye goma hilo la kuitwa Sugu kulikuwa na small hint ya jina maarufu la “Jongwe”. Alisema “Wengi sasa wanakubali mimi ni dume la Mbegu” -yaani Jogoo aliyekomaa, yaaani Jongwe.

Lakini kuonyesha ya kwamba yeye Sugu ni Jogoo aliyewaamsha Ma-Emcee juu ya maujanja mengi alisema “Narudia kusema tena muziki ni kazi yangu, Nawaombea kwa Mungu mashabiki wangu, Na Ma-Emcee wote ambao ni kama wadogo zangu”.

Kwa nchi ya Tanzania kwenye Taaluma ya Emceein Past ya Sugu ni Future ya Ma-Emcee wengi. Rudia kusoma hapa. Why? Jogoo is always in the future.

Hivyo kama wewe ni Emcee na unaona kabisa jina ambalo ulichagua toka mwanzo Spiritual Meaning yake haipo sawa ni ruksa kubadirisha na tambua ya kwamba kila unapobadirisha jina kutakuwa na changes kwenye maisha yako. -Choose wisely.

Sasa basi ebu tufanye Spiritual analysis ya jina maarufu la Sugu lijulikanalo kama Jongwe kwa kiswahili chepesi Jongwe ni Jogoo aliyekomaa.

“In most cultures, the rooster is generally a good omen, symbolizing positive traits such as self-confidence, ambition, strength, vigilance, honesty, sexual prowess, and punctuality.”

Sugu alipoamua kujiita Jongwe Spiritualy alikuwa anahitaji hayo ambayo umeyasoma hapo Juu. Hakuna sifa hapo juu ambayo Sugu hana.

“Whether the rooster appears to you in real life, in a dream, or the form of an inanimate art form or symbol, it comes to convey some important, life-changing lessons.”

Na ndio maana Sugu alipotoka Kwenye Jongwe now yupo kwenye Taita. Lakini tuangalie tu umuhimu wa Jogoo kwenye maisha yetu ya kawaida.

“If the rooster is your spirit animal, you are fierce, hardworking, and even bossy. You approach life fearlessly and aren’t afraid to put up a fight whenever necessary.”

Kwanini nakuelezea haya yote. Nakuelezea haya yote ili kusisitiza what you think you know, may be there is more to it. (hope you thought you know about Jongwe as a name). - And Now?
🤷🏿‍♂️

Always try to go deep and study yourself and decisions you make. You may think you know you, but may be you don’t. You may think you know your Kulture may be you don’t.

Tutaendelea
MWANDIKO WA GEGO MASTER HUU.
MOJA YA WAANDISHI WANAOJUA SANA KUVITAMBA VISA VYA MUZIKI.
 
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft3d%2F1.5%2F16%2F1f937_1f3ff_200d_2642.png&hash=b9a1e40d43bc15eceb940262f53a5680" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />

Always try to go deep and study yourself and decisions you make. You may think you know you, but may be you don’t. You may think you know your Kulture may be you don’t.

Tutaendelea
MWANDIKO WA GEGO MASTER HUU.
MOJA YA WAANDISHI WANAOJUA SANA KUVITAMBA VISA VYA MUZIKI.
He is good
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom