Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

2014 niliweka konyag ile size kati mdomoni,nikaipiga kama maji yote bila kutoa,,,yani nilifanya vitu vya ajabu hii msg isikie tu kwa watu

"Bby mimi na wewe basi,is not working"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
2014 niliweka konyag ile size kati mdomoni,nikaipiga kama maji yote bila kutoa,,,yani nilifanya vitu vya ajabu hii msg isikie tu kwa watu

"Bby mimi na wewe basi,is not working"
Lakini hio sms ukiipata kama ukishajiandaa huwa haiumizi sana.
 
2014 niliweka konyag ile size kati mdomoni,nikaipiga kama maji yote bila kutoa,,,yani nilifanya vitu vya ajabu hii msg isikie tu kwa watu

"Bby mimi na wewe basi,is not working"
Pole mwaya. Mimi sijawahi kuachwa hivyo. Huwaga nikiona sielewi nakaa pembeni ila ndo ntaumiaaa kama nimepoteza nini sijui. Nakaaga kushoto mwenyewe halafu nalia hata mwaka hivi
 
Back
Top Bottom