Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Tunatofautiana mie si mpaka afanye vingi, nina uwezo wa kugundua mtu mapema, nakuwa namuhesabia siku akiyabananga mara 2 mara 3 inatosha, nasogea mbele, halafu sinaga tabia ya kumwambia mtu tuachane, napunguza mawasiliano, ule umuhimu wake kwangu unashuka kwa speed ya light.
Mtu wa kuhesabu makosa ni kazi kuishi nae
 
Ndio mana unakuta kuna wale anaachana na mtu wake aliekuwa anampenda,anaanza kujifanya kwamba hajatingishika wala hajaumia kumbe anaugulia ndani kwa ndani.Ndo hapo unakuta anaanza kutumia pic insta au fb kwa mfululizo zikisindikizwa na caption za "hata bila wewe naweza kuishi" mara "happy with my life"
Kumbe ndani ana maumivu yasio na mfano,mtu kama huyu ni rahisi kufufua kisukari kilipolala maana anajaribu kufake smile kumbe anaumia
Hyo kauli ya kufufua kisukari inaniachaga hoi
 
Kumbe mi nipo mbele eeeh!

Maana nikipigwa chini huwa nacheka tu, ila bahati nzuri huwa nachukua hatua pale nionapo dalili za usaliti hivyo namwambia tu, "kila mtu achukue ustaarabu wake"
Bado hujapenda kisawasawa wewe
 
Ndio mana unakuta kuna wale anaachana na mtu wake aliekuwa anampenda,anaanza kujifanya kwamba hajatingishika wala hajaumia kumbe anaugulia ndani kwa ndani.Ndo hapo unakuta anaanza kutumia pic insta au fb kwa mfululizo zikisindikizwa na caption za "hata bila wewe naweza kuishi" mara "happy with my life"
Kumbe ndani ana maumivu yasio na mfano,mtu kama huyu ni rahisi kufufua kisukari kilipolala maana anajaribu kufake smile kumbe anaumia
Yamewahi kukukuta ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom