Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Kupigwa kibuti sioo sababu ya wewe kuzeeka kwa vilio vya masononeko na lawama za Why me Lord Why me kama Shaggy..Tabasamu lako lazima liendelee kipindi cha Jua au kipindi cha mvua..Hakuna Binadamu mwenye kauli ya mwisho kwa furaha na smile yako,There is life still after a break up,kama alivyokuja kwenye maisha yako na kukukuta unasmile muache aondoke peke yake na aliache smile pale alipolikuta..Usimfanye ajihisi yeye ndo malkia saaaanaaa,au yeye ndo mfalme kiivyo,kwamba alipoondoka maisha yako yame-shake,kwani yeye ni nani??Alichangia hata koleo moja kwenye karai la udongo aliotumia Mungu kukuumba???Tupa kule...
Ladies and Gentlemen,Keep smiling always no matter what,wewe ni kama ATM ya NMB,People will always come in,withdraw money and go,Huna haja ya kumlilia mpuuzi yeyote asiyejua thamani ya Penzi lako!


Kamata glass tugonge cheers[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
kauli za kishujaa hizi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] inategemea huyo mtu mmezoeana vipi aisee for the first time lazima u shake tu kqma bond ilikua strong ila kama ilikua kawaida ni easy tu.....smile will be there
 
Hata wa pembeni huwezi mpenda kama ulieachana nae kama kweli ulikua unampenda kutoka moyoni. Kuna watu hawawezi tu kukaa single. Wao wanapenda kukaa na mwanaume hata kama hampendi ila awepo.
Aisee...
 
Ndugu yangu hujakutana na madhila yakakufanya hata hayo mapenzi yakaondoka moyoni yakabaki maudhi,na hujaamua tu, jiambie mm ni special pia siwez kuumia kwa mtu asiejua thamani yangu na ukishakubali hali bas umejitibu jeraha tena unakua na amani moyon
Madame upo vizur mnoo
 
Kulikuwa na maisha kabla yake na kuna maisha baada yake, hatukuumbwa kwa pair kusema baada ya huyu hakuna mwingine..

Ndio maana napenda kupendwa kuliko kupenda zaidi.. Najua moyo wangu ulivyo naweza kurudisha upendo ninaopewa, ngumu kulipenda jitu silielewi.
Kweli mkuu
 
Sasa ndo mpaka afanye vingi ndo moyo utachoka.
Tunatofautiana mie si mpaka afanye vingi, nina uwezo wa kugundua mtu mapema, nakuwa namuhesabia siku akiyabananga mara 2 mara 3 inatosha, nasogea mbele, halafu sinaga tabia ya kumwambia mtu tuachane, napunguza mawasiliano, ule umuhimu wake kwangu unashuka kwa speed ya light.
 
Back
Top Bottom