Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hyo kauli ya kufufua kisukari inaniachaga hoi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hyo kauli ya kufufua kisukari inaniachaga hoi
Mimi?Yamewahi kukukuta ?
Wana moyo aiseeWatu wana mioyo bwanaa
Wanafosi kuonesha kuwa hawajaumia na wapo ngangari kuliko alivokuwa na wewEeeh. Wanakua hawapendi ila wanataka tu wasijione wapweke au wamkomeshe ex
Nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja,nainjoi comments uku nalinda koloni languNakuona nakuona
Unavyopitia comment moja baada ya nyingine
Davet usicheke[emoji116][emoji116] hahah!!
Wewe ndioMimi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii inaitwa wivu sina ila roho inaumaAsilaaniwe nampenda bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem sijakuona kabisa hapa..karibu ushee experience yako kwenye kuachikaShemeji leo umenikuna kunakoooo kunywa sodaaaa
Vyote kwakweliUmewahi kuachwa/kuacha?
Oooohoooo lakini anakula kama kawaMazoea tu yanakuwepo ila sio kama zamani
[emoji23] msalimie saimonSaimon [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ndioWatashukuru kwa ushauri uliowapa katika kipindi wanachopitia kwa sasa
Analipa nani?Shemeji leo umenikuna kunakoooo kunywa sodaaaa
Kazi njema nduguNafanya kazi mbili kwa wakati mmoja,nainjoi comments uku nalinda koloni langu
EeehWanafosi kuonesha kuwa hawajaumia na wapo ngangari kuliko alivokuwa na wew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafanya kazi mbili kwa wakati mmoja,nainjoi comments uku nalinda koloni langu
Ila naona bae kapanic [emoji23] [emoji23]Shemeji leo umenikuna kunakoooo kunywa sodaaaa
Hakikaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii inaitwa wivu sina ila roho inauma