Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
Hataiiii mnyaanguMapenzi mapenzini utamu kunoga
Hataiiii mnyaanguMapenzi mapenzini utamu kunoga
Na fb anampost with a caption "nampenda sana bby wangu,wapambe kaeni pembeni"Kuna watu kureplace bf ni mwezi tu tena anakwambia kabisa anampenda bf mpya nabaki najiuliza anapata wapi moyo wa kupenda haraka hivyo.
NimemjibuAkikujib unitag
Nakazia dadaNi ngumu sana jamani but sometimes you have to let him/ her go!!
Utampenda kwa kujipa moyoHata wa pembeni huwezi mpenda kama ulieachana nae kama kweli ulikua unampenda kutoka moyoni. Kuna watu hawawezi tu kukaa single. Wao wanapenda kukaa na mwanaume hata kama hampendi ila awepo.
AaaaiseeeKulikuwa na maisha kabla yake na kuna maisha baada yake, hatukuumbwa kwa pair kusema baada ya huyu hakuna mwingine..
Ndio maana napenda kupendwa kuliko kupenda zaidi.. Najua moyo wangu ulivyo naweza kurudisha upendo ninaopewa, ngumu kulipenda jitu silielewi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wachaa wee
Na wengine huja kama LAANAAsante, tutambue tu kuna watu wanakuja kwneye maisha yetu kama baraka wengine huja kama mafundisho. Ukianguka unanyanyuka unajifuta vumbi unaendelea mbele, yeye si wa kwanza na wala hawezi kua wa mwisho,
Kubwa na cha msingi ni kujua hakua riziki yako pamoja na kujitoa kwake kwa hali na mali, utapata atakayejua thamani ya machozi yako na kukupa upendo mara mbili ya ulioutoa
Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee kubali hali, lia unavyoweza hakikisha ukitoka hapo hulii tena then move on with your life.
Ni kuomba Mungu tu,hata huyo ex alikua sahihi sema tu mambo mambo na kushindwa kuact right ikapelekea akawa ex.Hadi umpate alie sahihi
Ni ngumu bwana sio hiyari yao wala usiwalaumu...Watu wengi huwa wanashindwa kupambana kabisa na hii hali,,huishia kuharibu kazi,masomo n.k
Duh hahhahaNa wengine huja kama LAANA
Replacement ni maumivu mengineit take time,,lakin ukipata replacement yake iliyokamilika vizuri aaah mambo yanakua mazuri sana
Ndio mana unakuta kuna wale anaachana na mtu wake aliekuwa anampenda,anaanza kujifanya kwamba hajatingishika wala hajaumia kumbe anaugulia ndani kwa ndani.Ndo hapo unakuta anaanza kutumia pic insta au fb kwa mfululizo zikisindikizwa na caption za "hata bila wewe naweza kuishi" mara "happy with my life"kauli za kishujaa hizi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] inategemea huyo mtu mmezoeana vipi aisee for the first time lazima u shake tu kqma bond ilikua strong ila kama ilikua kawaida ni easy tu.....smile will be there
Katika kumpata aliye sahihi kuna trial and error.Hadi umpate alie sahihi
NakaziaDunia navyote vilivyomo vinahitaji mahesabu ya kisayansi.
Ukiyaweza,hutokaa ulie ulie kisa mambo ya kipuuzi km kupigwa kibuti n.k
Kujipa break nalo sio jambo rahisi sanaInashauriwa kujipa break after break up, tena uwe break had uone mwenyewe sasa huu ndio muda sahihi wa kuingia tena
HihihiiiiiiiiEeeh. Tukichoka tumechoka. Unavumilia weee mpaka baadae unaona kwanin ubebane na zigo la nya
Akikujibu unitagIla yote 9, 10 mkuu umemwagwa nini mkuu!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukidhamiria inawezekana hakuna linaloshindikanaKujipa break nalo sio jambo rahisi sana