Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

Tunatofautiana mie si mpaka afanye vingi, nina uwezo wa kugundua mtu mapema, nakuwa namuhesabia siku akiyabananga mara 2 mara 3 inatosha, nasogea mbele, halafu sinaga tabia ya kumwambia mtu tuachane, napunguza mawasiliano, ule umuhimu wake kwangu unashuka kwa speed ya light.
Bahati hiyo mnayo mlopenda wengi. So far nimepata break up mbili tu kwenye maisha yangu. Ingawa moja wapo ni complicated.
 
Back
Top Bottom