Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
[emoji116][emoji116] hahah!!Naomba niulizie kama kuna mchepuko wowowte umemuacha
Ndio vinini hvyo?
[emoji116][emoji116] hahah!!Naomba niulizie kama kuna mchepuko wowowte umemuacha
Ndio vinini hvyo?
Asilaaniwe nampenda bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani na alaaniwe uyo kwa kukuliza ivo.
Ila Mungu analipaga maumivu unayopata
Hujapenda badoShida yangu ni moja nalijua tatizo na njia za kuliepuka but still najitoa ufahamu na mwisho wa siku ni maumivu..sijui ni ugonjwa gan huu jamani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siipendagi "baby its not you, its me nyoko nyoko nyoko"
[emoji44][emoji44][emoji44]Asilaaniwe nampenda bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mazoea tu yanakuwepo ila sio kama zamaniComplicated ndo inakuaje,wengine lugha tatzo mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilizani umesema oky bro
Ni salim au sam?Utasahau lini? Hujawahi kuwa na mtu kama S. Huwezi sahahu haraka hivyo. Ile ilikua kama ndoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Saimon [emoji23][emoji23][emoji23]Ni salim au sam?
[emoji23] [emoji23] hii pole ni yangu mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohoooo nilisahauKhalid chokoraa [emoji23]
DoubtNawapa waliochika hope yakuishi kwa furaha tena
Kwema shemejiKwema ?
MmmhDoubt
PoleYametokea, hivi juzi tu ahahahah
NakubaliNa wengine huja kama LAANA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mi moyo wangu umekufa ganzi, mtu akinipiga kibuti anajisumbua,
Ni kweli kabisaNi kuomba Mungu tu,hata huyo ex alikua sahihi sema tu mambo mambo na kushindwa kuact right ikapelekea akawa ex.
Ni kweliKatika kumpata aliye sahihi kuna trial and error.