Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,240
- 90,297
Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k.
Wapiga debe,
Wauza ice cream,
Wabeba mizigo(makuli),
Wachuuzi stendi,
Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi)
Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata tamaa ya maisha.
Ni kazi za kusikitisha sana.