Unajua hizi hearsay za kusimuliwa tu, hazina uthibitisho.
Hakuna anayeleta experience yake mwenyewe ya hizi biashara.
Kila mtu analeta stori za kuambiwa na kusimuliwa tu.
Mara, Kuna jamaa anauza tikiti tu, katoboa, kuna jamaa anauza ice cream tu, kuna jamaa anatembeza nguo tu.
Sasa hizi ni stori za kusimuliwa tu, inabidi mtu ambaye ametajirika na mwenye experience ya biashara hizi ndio aeleze mchanganuo mzima ulivyoenda.
Maana mtu aki kuhadithia tu, anauza ice cream au tikiti, utahakikisha vipi kwamba ni kweli na hana biashara nyingine inayo msapoti?