kazi za

Kazi Farms Group is a group of businesses in Bangladesh.
Kazi Zahedul Hasan, the managing director, was awarded Business Person of the Year for 2004 by The Daily Star (Bangladesh).

View More On Wikipedia.org
  1. monotheist

    JamiiForums Tanzania Msaada wa connection ya kazi za security

    Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD. Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  3. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kazi za Remote (Mtandaoni) kwa Wataalamu wa IT, Biashara na Anga: Jiunge na Alignerr ($30 - $100+/hr)

    Habari wakuu, Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rose Shaboka yupo sahihi, Mwanamke hapaswi kuishia kazi za nyumbani. Hayo ni mawazo finyu

    Hamjambo! Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke. Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo. Mwanamke ambaye ni mtu na sio binadamu huwezi mtazama kwa angle Moja au nafasi Mojave. Mwanamke nje ya kuwa mke...
  5. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabongo tunaamini kazi za kukaa ofisini ndio kazi zenye Pesa?

    Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Likizo hii umemuandalia mtoto sehemu ya kujifunza stadi za kazi za kumuandalia ujuzi wa kujiajiri au unaendelea kumkomalia na tuisheni ?

    Likizo ya June inakaribia, watoto watakuwa nyumbani kwa wiki kadhaa hadi mwezi. Swali la kujiuliza ni hili: Je, unamjengea mtoto uwezo wa kuishi na kujitegemea au unaendelea kuamini kwamba kumnoa kwenye ufaulu wa darasani pekee utamtoa kwenye changamoto za maisha? Ukweli mchungu ni kwamba...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Connection ya kazi za monitoring and evaluation kwenye NG'os

    Habari ndugu wa Tanzania, Natafuta kazi za MEL kwenye hizi ng'os hata local nikipata sawa ntashukuru. Nimejaribu kuomba tokea mwezi January lakini naona kimya😫. Nimesomea takwimu. Ni mwanamke
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jinsi Content Creation Inavyoweza Kukupatia Scholarship na Kazi za Kimataifa

    Siku hizi kupata scholarship au kazi kwenye mashirika makubwa si suala la kuwa na GPA nzuri pekee au CV ndefu yenye maneno mengi. Dunia imebadilika. Watu wa kwenye panel za scholarship na recruiters wa mashirika ya kimataifa wanaanza kuangalia “digital footprint” yako yaani umeonyesha nini...
  9. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je, kazi za mtandaoni ndiyo future ya ajira duniani?

    Katika dunia ya sasa, watu wengi wanaanza kuachana na mfumo wa kawaida wa kusubiri ajira za ofisini pekee. Internet imefungua milango mipya ya kazi za online, freelancing, remote jobs, na opportunities ambazo unaweza kufanya ukiwa popote. Lakini swali kubwa ni: 👉 Watu wanapataje kazi online? 👉...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kikundi cha KIMAUCHA kinachofanya kazi za umeme chini ya TANESCO – Chanika kinafanya dhuluma kwa Wafanyakazi wake

    Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi. Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inakuaje vijana Wamarekani hawana hamasa na kazi za jeshi Marekani?

    Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa kufikia malengo yake ya kuajiri wanajeshi wapya hadi inabidi kubembeleza watu au kushusha vigezo...
  12. Funny boe

    JamiiForums Tanzania JF tuanzishe mpango wa kuwapa au kuwatafutia kazi za kufanya. Sasa inakuaje mtu yupo online JF masaa yote 24/7. Kazi anafanya saa ngapi?

    Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja chafya ngumu min -me
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nchemba: Kazi za serikali zifanyike Dodoma ili kuwasogezea wananchi huduma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema kazi za serikali zifanyike makao makuu ya nchi, Dodoma, ili kuwasogezea Watanzania huduma. “Mheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mwelekeze Katibu Mkuu atengeneze timu ifanye tathmini ya majengo yote ya Serikali yaliyoko Dar es Salaam ambayo hayana...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kazi za kuangalia Nyumba, ulinzi wa Nyumba na pia usafi

    Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda , Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kazi za remote

    Kama unapenda kufanya kazi za remote hii inakufaa Mercor | Find Remote Work Opportunities
  18. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo sasa njia za kuingia serikalini kuwa mbunge, diwani lazime upitie kazi za usanii na uchawa

    Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo. Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa. Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
Back
Top Bottom