Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
Na ni jambo hatari sana kwa usalama wa nchi , ndio maana nchi makini nyingi haziwezi kuachia mipaka kiholela namna hii
 
Tatizo siyo hiyo ada ya Visa bali vikwazo vinavyoambatana na upatikanaji wa hiyo Visa.
kufanya vetting kwa watu wanaotaka kuingia nchini ni moja ya process ya kutoa visa , ukiondoa restriction hio ni sawa na kuwa na mfumo wa bank ambao huhitaji password kulogin , wahalifu watahack mfumo na utalia sana
 
Your reasoning capacity yako iko chini below average......nchi kama Tanzania inauwezo wa kuzuia magaidi kuingia wakitaka?, Nani kakuambia kwamba gaidi anahitaji viza kuingia hapa Tanzania?
una elimu ndogo sana ya kiinteligensia acha nisiende sana huko, lakini nikupe mfano mdogo tu , kinachofanya waethiopia kila siku wakamatwe nchini wakiwa wanakatisha kuelekea south ni nin?
Visa ,visa only , unapokua nchini bila visa wewe ni mhalifu , ukiondoa visa maana yake ukimuona mrwanda , msomali na wengine hata kama hawana visa hutakiwi kuwahoji , kwa nini?
ingekua simple hivyo nchi kama marekani zingekua zimeshaondoa , this is a bad move
 
Huhitaji visa ila unahitaji passport. Requirement ya Passport au identification ipo pale pale.

Kenya inajua ina limited opportunities kwa raia wake hapo inalenga nchi zingine zijae nazo ziseme wakenya hamuhitaji visa kuinga kwao ila wakenya wazamie huko. Tayari imepeleka wanajeshi wake Haiti na wakulima Israel. It's a good idea but also to please the white masaa. However you wanna take it.
ume analyse kwa akili , wana target wakubalike nje hawana ressource ndani , kwa TZ haitatusaidia , hatuna man power ya ku export nje
 
Ya kwamba magaidi wao ndo watakosa hizo dora 30 za viza?

Au ya kwamba ugaidi una zuiliwa kwa visa? Alafu mbona wasomali wamejaa kila sehemu ya nchi hii na mpaka wengine wana mamlaka makubwa ya kiuongozi ndani ya nchi yako?
ili upate visa ,lazima ubalozi ufanya vetting ,ukiingia nchini bila visa maana yake first layer of security ya vetting unakua umeikwepa , banana republic pekee ndio itaruhusu hii mambo
 
Kuondoa Visa nikuhatarisha usalama wa Taifa
Labda wananjia sahihi ya kufuata ili kulinda usalama wa Taifa
 
Lakini huo ujinga wa mtu mweusi sidhani kama utakuwa unazidi wa kwako unaye dhani kuwa muharifu ana zuiwa na visa.
Wewe akili yako mbovu mbona nyumba yako umeweka milango na kufuri ? Kwani mwizi awezi kuvunja kufuri tumia akili acha kutumia kijambia kufikiri kama sa100 ....sheria mbovu na akili mbovu vinaweza kuzarisha wahalifu hata kwa waliokuwa siyo wahalifu ...kuna sheria au kanuni ambazo zina wavutia wahalifu ....jambazi likifanya ujambazi kenya linakuja kujificha tz kirahisi ...pia masikini wanaweza kuvamia nchi nyingine bila ya mpango na kuwasababishia kugeuka kuwa wahalifu mitaani au kujiusisha na vitendo viovu vingine .
 
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.

Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?

Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?

Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?

Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Hiyo VISA free utakuta ni kwa wazungu tu, ngozi nyeusi atasumbuliwa tu.
 
wao mbona Wana free movements,trade n.k huwezi kutoka nchi moja kwenye European Union ukaambiwa mambo ya viza sijui nn

Sasa jiulize hapo kuruhusu watu kuingia Kenya bila viza ni kila nchi Afrika imeruhusu? Niambie katika nchi 54 za Africa ni nchi ngapi zimeondoa viza na kuruhusu watu kuingia nchini kwao kiholela?
 
Back
Top Bottom