Kenya kufuta kigezo cha Raia wa Nchi za Afrika kuingia na Viza nchini humo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
images (6).jpeg

Kwa mujibu wa Rais William Ruto, Nchi hiyo imepanga kukamilisha hatua hiyo ifikapo mwisho wa mwaka 2023, ikilenga kuvutia Uwekezaji na Biashara kati yake na mataifa mengine ya Afrika.
Akizungumza katika ziara aliyoifanya Nchini Congo-Brazzaville, Ruto amesema Ushuru Mkubwa Forodha ni chanzo cha mataifa mengi kuwa na kiwango cha chini cha biashara huku akitaja Vikwazo vya Viza kati ya Nchi moja na nyingine kuchelewesha Maendeleo.

Kwa mujibu wa Ripoti ya #VisaOpenness iliyochapishwa na Umoja wa Afrika, hadi kufikia mwaka 2022 Nchi pekee za Afrika zilizoruhusu raia wa Nchi zote za Afrika kuingia bila Visa ni Seychelles, Gambia na Benin.

Visa Openness ilishauri Nchi za Afrika kama kuondoa kikwazo hicho ni ngumu, zipunguze Gharama za Visa, Ziruhusu raia wa Nchi za Afrika kupata Viza baada ya kuwasili katika nchi husika na kutekeleza mfumo wa Viza ya Kielektroniki (e-Visa).

==========

Kenya is to end visa requirements to all African visitors by the end of the year, President William Ruto has said.

"It is time we... realise that having visa restrictions amongst ourselves is working against us," he told an international conference.

Visa-free travel within the continent has been a goal of the African Union (AU) for the past decade.

While there are regional deals and bilateral arrangements, progress towards no restrictions has been slow.

Only Seychelles, The Gambia and Benin offer entry to all African citizens without a visa, according to a 2022 AU-backed report.

But according to Africa's Visa Openness Index - which measures the extent to which each country in Africa is open to visitors from other African countries - most countries are making progress towards simplifying entry processes and dropping restrictions to some other nations.

In 2022, Kenya was ranked 31st on the index out of 54 states.

President Ruto told an audience in Congo-Brazzaville that it was bad for business.

"When people cannot travel, businesspeople cannot travel, entrepreneurs cannot travel, we all become net losers.

"Let me say this: As Kenya, by the end of this year, no African will be required to have a visa to come to Kenya," he said to loud cheers from the conference delegates.

"Our children form this continent should not be locked in borders in Europe and also be locked in borders in Africa."

He was speaking at a summit aimed at protecting some of the world's largest rainforests.

The AU launched its African passport in 2016. The idea behind the passport is for all African citizens to be able to travel throughout the continent without visas - but it is still not widely available.

This is in part because of concerns about security, smuggling and the impact on the local employment markets.

If dropping all visa restrictions is currently a step too far, the Visa Openness Index report recommends a number of other measures. These include lowering fees, making visa on arrival standard for African visitors and implementing a secure e-visa system.
 
Hii maneno ya ngonjera kila siku mnaongea na kuimba toka Uhuru ila utekelezaji zero!
 
Back
Top Bottom