Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Wanaume naombeni mawazo yenu..nawaza hii PM naituma heading nasema salaam
Kaka naomba uwe rafiki yangu ,kila nikiona psot zako navutiwa ,

hata siyapati maneno yakusema

@Marytina unanitisha zaidi uliposema umekataliwa na The Finest naogopa

Usiogope dear.... kua binti komandoo komaa mpaka kieleweke! lol:eyebrows:
 
Shem hebu mpeleleze huyo binti, isije ikawa zali limeniangukia bila kujua...... afu kama kawaida utaniPM. sawa eh?

Huyu sidhani shem.... Ila kuna mmoja ananisumbua kweli yaan, nimesema ngoja upone huna nguvu ya kumkagua sasa....lol
 
lol...... Mimi ni mwanamke, na wanaume mwatusumbua saana, hivo jua daima niko pande zetu siwezi kukusifia kama hua watusumbua bana! na smile huyo kaja hapa....lol
Kwa mawazo yangu...naona wanawake mnapenda kusumbuliwa..mwanamke usipompamba pamba, usipo msifia anakuwa hana raha kabisa!! Principle yangu ofisin, napenda kuwambia wadada wamependeza hata kama hawajapendeza...na wanakuwa happy the whole day. Usipomsifia tu anakuwa out of mood, anaweza hata akachukua ED!!
 
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......

GY...???:A S embarassed:
 
Huyu sidhani shem.... Ila kuna mmoja ananisumbua kweli yaan, nimesema ngoja upone huna nguvu ya kumkagua sasa....lol
Hahahaha......... hebu i-delete hii post faster shem kabla EW hajaisoma akabadili mawazo....lol
 
Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumizi
 
hahahaha.... Finest naona ana bahati saana leo anatajwa tu in the lines of Love..... Mzee wa Rula wewe kuna mtu kakuchanganya? lol

Mimi dada yangu nime base kwenye uwazi na ukweli, ninachokiamini kinanifaa nakifanya hivyo nikichanganywa na mtu najitoa mhanga natangaza sera za kuchukua jimbo kama kura hazikutosha basi tena najipangaa awali nyingine.

Ila kiukweli yupo aliyenichanganya na nimeshafunguka kwake.

Jeeez! Nimekumbuka mambo ya Singular na Plural.... Sasa hapo mama unataka kumaanisha nini? Yaani kubaniana mchana kweupe namna hii?

namaanisha idadi ya bibi zetu ukiipanganga inatoka makongo mpaka mbagala babu
 
Kwa mawazo yangu...naona wanawake mnapenda kusumbuliwa..mwanamke usipompamba pamba, usipo msifia anakuwa hana raha kabisa!! Principle yangu ofisin, napenda kuwambia wadada wamependeza hata kama hawajapendeza...na wanakuwa happy the whole day. Usipomsifia tu anakuwa out of mood, anaweza hata akachukua ED!!

Khaaa!!! hivo siku zoote ukisema nimependeza unaongopa? Dah! I hate you I think....lol
 
Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumizi

oooh! Kumbe naniliii. Mwambie usiogope. Lol
 
Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumizi

Kwa hivi vigezo sipo kwenye rally
ngoja nikae pembeni kabisa
 
Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumizi

Ah kumbe ni mwanasiasa kazi ndogo sana ingia na gia ya kampeni,hapo mtafungua mjadara na kufahamiana....................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom