Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......
kwa nini uendelee kuumia jilipue mweleze akichomoa sawa tu
 
My Sisy,.....nilikuwa nategemea hata unisifie nisifie...nashangaa umenigeuka kabisa!!
Siangaiki kabisa, kuna Smile tu na hamna mwingine, na wewe mwenyewe unalifahamu

lol...... Mimi ni mwanamke, na wanaume mwatusumbua saana, hivo jua daima niko pande zetu siwezi kukusifia kama hua watusumbua bana! na smile huyo kaja hapa....lol
 
Mie nitapenda japo apite kwenye thread hii aone tu kama kuna mtu anahangaika kimawazo juu yake ...
nahisi nikimtumia PM anaweza kukaa kimya asiijibu ...

Kweli kupenda kuna shida yake, asipokuja utajisikia vibaya hebu fanya kweli omba uwe rafiki nae usije kumpenda mwanamke mwenzako maana wapo akina MS wengi ambao jinsia zao zinabadilika kama kinyonga.

Jilipue tu mama nini kuficha vidonda maana hata akipita hawezi jua unamzimikia.

Mie nitapenda japo apite kwenye thread hii aone tu kama kuna mtu anahangaika kimawazo juu yake ...
nahisi nikimtumia PM anaweza kukaa kimya asiijibu ...
 
Kinky. Loving and AVATAR. OOOOOHHHH!!!!!!!

Kama nilivyosema tabia zake pia zimenivutia ,kila nikivuta post zake sijawahi kukutana na haya moja ya utani ..
Kila post inamaanisha inachokisimamia ..
Nikiwaza hayo naona misimamo yake ni thabiti
 
Kama nilivyosema tabia zake pia zimenivutia ,kila nikivuta post zake sijawahi kukutana na haya moja ya utani ..
Kila post inamaanisha inachokisimamia ..
Nikiwaza hayo naona misimamo yake ni thabiti

hahahahaa.....labda Dr. Slaa.
Hata hutani hana....yeye maapwonti tu muda wote?? Hana hata ucrap kidogo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom