Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

Sikubaliani na makonda katika mambo mengi nina admire ujasiri wake. Akiweza kuuchannel katika positive na kupunguza kiki, anaweza kuja kuwa kiongoz bora kwa taifa hapo mbeleni.


Wewe upo pamoja nami, Hayo yanarekebishika Mkuu.
Unajua hata kuifanya kiki ivume nako ni kipaji. Wapo viongozi wanajitahidi hata kwa hilo la Kiki na wameshindwa achilia mbali kushindwa kuleta maendeleo
 
Naona wa kujiendekeza mmeamua kujitokeza
 
Wewe mbona unatapata na siasa? Endelea kuandika hadithi zako zaa kufikirika za abunuwasi siasa iache huiwezi..

halafu hizo namba za simu za nn sasa?
 
Wa kumkata makonda nani?
 
Nilijua tu utawahi hapo, Mali Ni kweli anazo nyingi Sana hata yeye mwenyewe akiongea tu amekua akijitanabaisha ,na mbona husemi Mambo ya kupitisha fenicha bila Kodi? Yupo na makando kando mengi kuliko kazi alizofanya!

Kuhusu kupitisha Fenicha nilishawahi kumkosoa,
unafikiri ni mara yangu ya kwanza kuandika habari zake huyu mtu?
Mbona makala nyingi nilizoandika habari zake nimemkosoa zaidi kuliko kumsifia. Lakini bado sioni kijana anayesogelea nafasi yake.

Makonda anamakosa mengi huenda kwa sababu anajaribu mambo mengi. Wengine hawana makosa kwa sababu hawajajaribu hata jambo moja
 
Wewe mbona unatapata na siasa? Endelea kuandika hadithi zako zaa kufikirika za abunuwasi siasa iache huiwezi..

halafu hizo namba za simu za nn sasa?



Mkuu kumbe wewe ni mfuasi wa stori zangu. Nimefurahishwa kujua unasoma hadithi zangu ambazo umezipa jina la hadithi za kufikirika za Abunuwasi.

Uliposoma hadithi zangu hukuona niliweka namba zangu? Mbona usiniulize huko?
Unafirkiri nitapata uteuzi?
Vijana mnamambo sana nyie
 
Sasa namba umeiweka ili iweje?
 
kamati ya roho mbaya imeshapewa rungu na imeshaamriwa "hakuna yeyote aliyetumwa na rais"

konda anakatwa
 
kama hauyajui kuhusu makonda kaa kimya ukijua huo utisho unaousema aliufanya kwa nia gani hata usingeongea... hujui kwamba ili utambulike na wenye mji lazima na wewe uweke kick yako ya kipee???
 
kama hauyajui kuhusu makonda kaa kimya ukijua huo utisho unaousema aliufanya kwa nia gani hata usingeongea... hujui kwamba ili utambulike na wenye mji lazima na wewe uweke kick yako ya kipee???

Kwa hiyo unasemaje Mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…