Uchaguzi 2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

Ni sahihi. Anaonekana kuwa mkuu wa mkoa ambaye mwenye uthubutu
 
Uongozi ni pamoja na kuamini kuwa yupo mtu wa kuweza kufanya kwa nafasi kama au hata zaidi ya wewe .
Uongozi si cheo ,Makonda kama anasifa hizi zote unazosema sina shaka ataweza kufanya vizuri hata akiwa mwananchi wa kawaida .
 
Aliwazalo mjinga ndilo humtokea.. Wahenga walisema...usishindane na wajumbe... na...Mjumbe hauwawi...sikio la kufa halisikii dawa...bora kuanza vibaya na kumaliza vizuri na si kinyume chake.
 
Nenda kanywe naye chai
 
Kwa kuwa umesema ni mmoja kati ya vijana wachache hata TZ....basi tutachukua hao wengine Wachache wengine....but siyo yeye.
 
mwambie mtani wAngu aache tamaa na apunguze
Hawezi kuacha tamaa, ndio maana hata kwenye akaunti zake mitandao ya kijamii bado ana jiita RC wa Dar es salaam bila hata aibu wakati ana karibia mwezi toka atumbuliwe.
Pengine hata zile mbinu zake za kujipatia pesa kidanganyifu kutumia cheo anaendelea nazo.
Hilo la kutumia jina LA cheo kisicho chako ni kosa la jinai nafikiri.
 
A
 
Kumbe bado mnawatabiria wapiga kura
 
Waafrika mbona waroho wa madaraka,ameshakuwa mkuu wa mkoa bado mnataka awe tena mbunge,amewatumikia wananchi imetosha . wanzetu wa nchi za dunia 1 huwaga wanashangaa watu wa nchi za dunia 3 huwaga wanapata wapi mawazo kama ya mugabe kutaka kutawala daima
 
Angetaka “kumsaidia Magufuli” angebakia kwenye ukuu wa Mkoa. Vikao vya kuchuja watia nia vitafanya kazi yao na labda watampitisha na kuwaachia wanaCCM wa Kigamboni wafanye maamuzi yao
wana CCM Kigamboni wafanye maamuzi mara ngapi? sema wapiga kura wa Kigamboni ndio wafanye maamuzi ya mwisho.
 
Wewe kakutuma umsafishe au? Maana wenzie wa tumbo moja hawamtaki sasa sisi ni nani hata tumkubali?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…