Ni sahihi. Anaonekana kuwa mkuu wa mkoa ambaye mwenye uthubutuKatika Siasa za vijana, Makonda kamsaidia sana Magufuli kwa sehemu kubwa. Makonda ameshiriki matusi, katukanwa na watu wa ndani na nje ya nchi. Sijaona mpaka sasa aliyeonja uchungu na utamu kwa awamu hii kama Makonda. Mhe. Rais mwenyewe analijua hilo.