Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

😆😆😆
 
Lisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!

Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lissu?
 
Lisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!

Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lissu?
tena Bawacha wanafanya hivi wakati Rais ni muislam !
 
Mnataka tudai Katiba Mpya ili mtanzania akikamatwa tuwe tunakimbilia kwenye Mabalozi ya mataifa mengine kutaka aachiwe au tuwe na Mahakama Huru zinazotoa Haki?
Tulitegemea CHADEMA washinikize judiciarytz kumpa Mbowe, haki sio ubalozi wa USA uingilie aachiwe!
 
Wakati wa mla kitimoto uliikimbia jf , leo umerudi , hatujasahau
Nikimbie mimi anakimbia Lema na Lissu.
Msimamo wa chama si mlikubaliana hamna kuomba dhamana kiongozi akikamatwa vipi tena mnalia lia.
 
Naomba kuuliza, hivi Gaidi ana haki? Huko Marekani magaidi waliokamatwa kwa kuhisiwa walipelekwa wapi kama si Guantanamo Bay. Hawa Bawacha nao wana akili kama za kina Maria Sarungi na Fatma Karume.
 
Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuachie Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe bado tunamuhitaji sana.

Pale Ufipa mara nyingi mnashangaza sana. You cannot have it both ways: kutaka rule of law na wakati huo huo kumtaka Rais afanye interference kwenye criminal justice system!
 
Mkuu, paragraph yote ni sentensi moja tu, mtu unasoma mpaka macho yanaona vimulimuli!
Btw, hivi wamarekani walishaacha kumsaka Edward Snowden? Ngoja niwahamasishe bavicha tuandamane kwenda ubalozi wa Burundi kushinikiza ili asisakwe!
 
Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuachie Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe bado tunamuhitaji sana.
Wewe naona umeachwa 'mangumbu' (mahameni) kumwita Samia rais wenu mpendwa. Makamanda wenzio wameshahama huko zamani, sasa hivi mama kawa mchungu kwao wanamrushia kila neno/tusi baya wanaloweza kufikiria.
 
🤣🤣
Wazee wa kubadili GIA ANGANI...tabia ya mwenyekiti wao...aliwafundisha kipindi kile cha mh.Lowassa ,Gwajima akiwa mshenga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…