Premierleague
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 166
- 254
- Thread starter
- #121
Sawa ila ni vema ku follow backSawa mgeni, karibu sana JF huku hatuombi kufollow na kufollow back, huku mtu ana kufollow mwenyewe😅😅
Sawa ila ni vema ku follow backSawa mgeni, karibu sana JF huku hatuombi kufollow na kufollow back, huku mtu ana kufollow mwenyewe😅😅
Naona umeng'ang'ania hiyo follow back😂😂 haya ngoja nikufollowSawa ila ni vema ku follow back
Nimependa namna umeiweka kwa herufi kubwa 🙏🙏🙏my heart is so thankfulKwa hili jina huyu ni ME
Karibu. Una Elfu Arobaini hapo nikufanye kuwa Platinum Member? Poor BrainBaada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Kuna nini huku! ngoja nisome.Wewe utakuwa secretarybird au Tajiri Sina BAYA umekuja kwa ID mpya
Babe mbona unanipakazie aise!Wewe utakuwa secretarybird au Tajiri Sina BAYA umekuja kwa ID mpya
Yaani ndio umefika tu jela halafu unataka kupata unyaparahuenda ndio maana jukwaa linakosa amsha amsha ila sio kesi taratibu tutafanya mabadiliko ili iwe modern social network watu wajiajiri na kupata kipato ili kuunga mkono bidii za Mh Rais
Najipa ukiranja au sio!?Yaani ndio umefika tu jela halafu unataka kupata unyapara
Huyu mgeni anasema yeye ni mtu mkubwa sana, nikajua ni wewe mkuu😁😁Kuna nini huku! ngoja nisome.
Samahani shemeji ndege, kumbe siyo wewe😁😁Babe mbona unanipakazie aise!
Hahaha ngoja niongee na mwanasheria wangu kama Kuna hiki kitu Binti Sayunii nitoe hii hela au naibiwa 🤔Karibu. Una Elfu Arobaini hapo nikufanye kuwa Platinum Member? Poor Brain
Mbona mnapendana kwenye sim yangu!?Babe mbona unanipakazie aise!
Akili kichwani kwako😅😅Hahaha ngoja niongee na mwanasheria wangu kama Kuna hiki kitu Binti Sayunii nitoe hii hela au naibiwa 🤔
Usifanye hivyo mwanasheria ana clear ambiguity anyway sitatoa najua Cha kufanya nipate hiyo platinumAkili kichwani kwako😅😅
Kitu hujui ni kuwa watu waliokuwa wanaishi mjini Twitter ndy hao wanao kaa huku mjini jamii forumsBaada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Yah nadhani baadhi wako huku ila dah ni pagumu kupaelewa ila sio kesiKitu hujui ni kuwa watu waliokuwa wanaishi mjini Twitter ndy hao wanao kaa huku mjini jamii forums
Kweli wewe mgeni mwenyejiUsifanye hivyo mwanasheria ana clear ambiguity anyway sitatoa najua Cha kufanya nipate hiyo platinum
Sio kila ushauri wa wakongwe unaufataPoa braza napenda sana kufata ushauri wa wakongwe
Mstari wa mwisho una maana sana 🙏Sio kila ushauri wa wakongwe unaufata
Wengine wamechanganyikiwa shaulizako kijana.
Dunia haina huruma