Premierleague
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 166
- 254
- Thread starter
- #161
Poa kiongozi Vicenzo naona we ni platinum member kabisa 🙏Karibu sana JF mkuu
Poa kiongozi Vicenzo naona we ni platinum member kabisa 🙏Karibu sana JF mkuu
Pamoja sana laazizi wanguHaya kama kweli ndege
Umesema ukweli mtu mkuu.Naona uko kwenye dimbwi la mahaba na mtoto wa sayuni mmelowana
Oyah follow back master mi siwaingilii tenaPamoja sana laazizi wangu
Basi mpwa umefanya vema kunijulisha kuanzia Sasa nitamuita shemUmesema ukweli mtu mkuu.
Nampenda huyu mtoto we acha tu yaani!
Ngoja nikupe mmoja anaitwa majoto.Oyah follow back master mi siwaingilii tena
Nitaendelea kukwea mnazi
Hakika itapendeza sana.Basi mpwa umefanya vema kunijulisha kuanzia Sasa nitamuita shem
Yah ndio bro code hizo kwa Sasa nitaendelea kuwasiliana na braza Evelyn Salt anipe namna ya kusavaivuHakika itapendeza sana.
Hahaha 😂🤣😂.Yah ndio bro code hizo kwa Sasa nitaendelea kuwasiliana na braza Evelyn Salt anipe namna ya kusavaivu
Ila kamwe usichezee hii fursa mkuu.majoto is my future
🤣🤣🤣 nimemuona mkuu ila hapa sio FESIBUKUOyah tajiri follow back master si unaona nimeshafollow
Dah poa master🤣🤣🤣 nimemuona mkuu ila hapa sio FESIBUKU
Mi naweka ndani kabisa imagine siku kuu kama hii nachinja mwenyewe na kula mwenyewe haiwezekaniIla kamwe usichezee hii fursa mkuu.
Kwanza kabisa mungu hapendi uwe single.Mi naweka ndani kabisa imagine siku kuu kama hii nachinja mwenyewe na kula mwenyewe haiwezekani
Daaah umesema we ni mgeni, kumbe sheikh yule yule kanzu mpya eeehYah ndio bro code hizo kwa Sasa nitaendelea kuwasiliana na braza Evelyn Salt anipe namna ya kusavaivu
Tumia vpnX ikirejea huenda nikarudi Kila mda naitest ila inasumbua bado
PoaTumia vpn
Usirudi kunishukuru, maana hukawii kurudi kusema "asante nimefanikiwa"
HahahaUsirudi kunishukuru, maana hukawii kurudi kusema "asante nimefanikiwa"