Kumbe watu mnafaidi namna hii

Kumbe watu mnafaidi namna hii

Nitumie nauli nije 😀 😀 😀 usisahau ya kutolea, ya kula njiani, na ya kuacha nyumbani, na ya kusukia nywele za safari na kijora cha kupandia ndege pia kisanduku chenye matairi na kibegi chake juu😀 yaani hii safari itakuwa tamu sana. Kuna kile kimto cha kuweka shingoni wakati wa safari. visendo vya manyoya na visoksi vyeke njiwa...
 
Hilo limepita.
Limepita kabisa, umebaki utekelezaji.
 
Back
Top Bottom