Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,074
- 1,564
Okay kaa Kwa kutulia mastaME ila sio macho juu juu maana naweza kuweka serikali kwenye kashfa
Okay kaa Kwa kutulia mastaME ila sio macho juu juu maana naweza kuweka serikali kwenye kashfa
Unamaanisha JF au?Baada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
huenda ndio maana jukwaa linakosa amsha amsha ila sio kesi taratibu tutafanya mabadiliko ili iwe modern social network watu wajiajiri na kupata kipato ili kuunga mkono bidii za Mh Raisna likes zilizopo huku hazina kazi
Poa braza napenda sana kufata ushauri wa wakongweOkay kaa Kwa kutulia masta
Saa hizi yupo kulee kwa mpalangeYuko wapi huyu
Yah ila inaonekana inatambulika JA Sasa sielewi ila sio kesi Cha msingi follow back mpwaUnamaanisha JF au?
Hahaha buza au sio kijana!?Saa hizi yupo kulee kwa mpalange
Huku ukileta habari za kumshukuru rais UTANISHUKURUhuenda ndio maana jukwaa linakosa amsha amsha ila sio kesi taratibu tutafanya mabadiliko ili iwe modern social network watu wajiajiri na kupata kipato ili kuunga mkono bidii za Mh Rais
Dah😥Sa namna hiyo si patafungwa tena kama TwitterHuku ukileta habari za kumshukuru rais UTANISHUKURU
itakua ni chiembe huyuHuyu akibanwa vizuri atataja ID yake ya mwanzo.
Wakati wa kujiunga nimeambiwa kabisa kuwa Kila maoni yangu yatahaririwa kabla ya kwenda kwa uma (nadhani ni wazo zuri)Huku uko huru kutoa mawazo kufungiwa ni ngumu japo naona siku hiz uhuru umepungua
Wewe utakuwa secretarybird au Tajiri Sina BAYA umekuja kwa ID mpyaMod hawajanipa full details ndio maana najikita kwa Binti Sayunii anipe taarifa za mtaa mzima
Chiembe kama kiembe samaki😂itakua ni chiembe huyu
Follow back Binti Sayunii mi nimevutiwa na hili jina sanaWewe utakuwa secretarybird au Tajiri Sina BAYA umekuja kwa ID mpya
Sawa mgeni, karibu sana JF huku hatuombi kufollow na kufollow back, huku mtu ana kufollow mwenyewe😅😅Of course nilianza kama kusoma tu Kisha nikaona naweza ku register ndio nikajiunga tafadhari nipokee unitembeze mitaa ya humu nisije kutapeliwa
Wewe ni KE au ME, Tuanzie hapo kwanzaBaada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Nashuhudiwa kutoka moyoniWewe utakuwa secretarybird au Tajiri Sina BAYA umekuja kwa ID mpya
😂😂😅umeshazoea X eeh!Follow back Binti Sayunii mi nimevutiwa na hili jina sana
Kwa hili jina huyu ni MEWewe ni KE au ME, Tuanzie hapo kwanza