Kumbe watu mnafaidi namna hii

Kumbe watu mnafaidi namna hii

Karibu sana

Kuna Jukwaa la Wakubwa huko ni balaa ila ni la siri sana

Vipi nikupe access ?
Aah hapana majukwaa kama hayo Twitter nilikuwa nayaepuka sana mi jukwaa pendwa litakuwa lile la biashara na michezo
Mara Chache nitapita jukwaa la mahusiano nione vijana wanavyolia
 
Nimemuona jana huyu nilipoona anawaambia Moderators 👇

Screenshot_20250607_103106.jpg


Nikakimbia chapu kucheki ID ya ndugu yangu Poor Brain pengine imefungiwa.
 
Back
Top Bottom