Premierleague
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 166
- 254
- Thread starter
- #61
Yah wapwa tuinuane una follow na follow back Kila kitu inaenda sawaKufika tu nakuanza kutuita wapwa!. sijapenda...😂
Yah wapwa tuinuane una follow na follow back Kila kitu inaenda sawaKufika tu nakuanza kutuita wapwa!. sijapenda...😂
Sawa hata mimi nina nafasi hyo hyo kubwa huwenda nikakufahamisha..Hahaha kumbe na huku Kuna mashangazi Sasa unalijuaje !?maana hakuna picha anyway kutoka na nafasi yangu kubwa serikalini sio rahisi kutaka shangazi
Kuna mtu kachafukwa humuBaada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Haha! huku hakuna hayo mambo utasubiri mno!Yah wapwa tuinuane una follow na follow back Kila kitu inaenda sawa
ME ila sio macho juu juu maana naweza kuweka serikali kwenye kashfaWewe ni ke au me.
Alafu mbona unaonekana macho juu juu maana huyo mnyama kwenye dp yako ndio Kazi Yake hiyo.Hakai Kwa kutulia.
Hamna ku follow mbona mi na follow na hapa nimemfolo Binti SayuniiHaha! huku hakuna hayo mambo utasubiri mno!
Niko Dar kijitonyamaSawa hata mimi nina nafasi hyo hyo kubwa huwenda nikakufahamisha..
Mimi ni IT wizara moja hapa dodoma..
Wewe mwenzangu
Ur warmly welcomeNiko Dar kijitonyama
X sikuwa parody mpwa huku nimeona ni pazuri maana hakuna picha ni hatujuani
Wasiojulikana ila sio wale katili waliomteka yule mkenya na mgandaKwahy ww unashehelekea kuishi na wasiojulikana😂😂
Wewe siyo mgeni 😁😁Nimeona Kuna mtoto anaitwa Binti Sayunii huyu nadhani ni wife material kabisa
Huyu atakuwa mgeni mwenyeji, nina wasiwasi naye😂😂Binti Sayunii unajipakulia minyama kwa wageni eeeh
Naomba unipokee kwa mikono miwiliWewe siyo mgeni 😁😁
Nchi imefunguka nitajitahidi nivute yoyote hata ya ml 1.5Karibu ila jitahidi ununue Gari user's wote wa Jf wanamiliki gari kali maskini wa mwisho anamiliki Mazda CX5
I smell something fish too😂😂😂Huyu akibanwa vizuri atataja ID yake ya mwanzo.
Of course nilianza kama kusoma tu Kisha nikaona naweza ku register ndio nikajiunga tafadhari nipokee unitembeze mitaa ya humu nisije kutapeliwaHuyu atakuwa mgeni mwenyeji, nina wasiwasi naye😂😂
Dah haya mapokezi mbona kama ya chauma mwanza anyway follow back mpwa !I smell something fish too😂😂😂