Kumbe Uturuki hamna Christmas!..

Kumbe Uturuki hamna Christmas!..

mkuu mzizi mkavu hizi christmas trees nahisi wanatumia kama mapambo tu!! hata hotel niliyofikia wameweka christmas trees nachojariibu kusema kwamba christmas haitambuliki maana leo ilikuwa ni siku ya kazi kama kawaida. wanafunzi walienda shule na vyuoni na shughuli za kimaendeleo zilikuwa kam kawaida!! ila nimewakubali zaid maana jana ilikuwa maulid day lakini ilikuwa ni siku ya kazi. nimefikia izmir mkuu. barikiwa sana
ok upo mbalina Mjini istanbul haya umeshaondoka au bado upo izmir Mkuu kijanamtanashati Turki ni nchi ya Kiislam hawawezi kuitambuwa Sikukuu ya Krismasi wala Sikukuu ya Pasaka hata Saud Arabia hawazitambuwi hizo Sikukuu ni za Wakristo Waislam ni mwiko kusherehekea.
 
Last edited by a moderator:
Pumba ni huu uandishi wako wakuandika "rahana badala ya laana,"balaka" badala ya baraka,uandishi huu tuliuzoea kwa mabekitatu wageni wa mji.

Maneno mujaraab kabisa,
Beki tatu teh teh teh teh
 
nimesikitika kuona baadhi ya nchi wanaendekeza udini kupita maelezo. nipo uturuki kwa mda kama mwezi kikazi. nimeshangaa kuona leo dunia inaadhimisha sikuku ya kuzaliwa yesu lakini kwa hii nchi tofauti kidogo. watu wameenda kazini, vyuoni, shule na shughuli zote za maendeleo zinaendelea kama kawaida. nimemuuliza dogo mmoja ananiambia ndo ilivo kwa kawaida hakuna mapumziko ya chrismas wala pasaka. mapumziko ni siku za eid tu. nimesikitika kwa kweli nimekumbuka tanzania yangu. sikutegemea kama udini upo juu kiasi hiki kwa nchi kama uturuki!!!

Uwezo wako wa kufikiria unatia shaka bro. Jaribu kutofanya conversation nyingi huko maana wengine hawachelewi kugeneralize kuwa Watanzania wana IQ ndogo
 
Kwani siwanamwamini issa bin mariam, sasa kwanini wasisherekee kuzaliwa kwake, hebu wakumbushe quran

Ukisema Issa hakuzaliwa desemba 25. Wapi pameandikwa Yesu amezaliwa tarehe 25 December?
 
Ndio mahaana mkuu rahaana zinawatafuna plus majanga ni sawa kila nchi inataratibu zake lakin kumbuka waliopo wote c Islamic mfano huko turkey kuna ifesso wanahamin kuwa bikra maria alihishi pale na watalii wengi uwenda pale nakuchukuwa maji ya balaka wanawezaje kutoamin kuzaliwa kwa mfalme Wa wayaudi pumba kabisa

Duh huu uandishi sijui wamkoa gani!!kiswahili lugha yetu.
 
Sio uturuki tu, nenda eastern Europe uone kama utakuta mtu akisherehekea leo.
Russia, Belarus, Latvia, Ukraine na nyingine nyingi tu hawana Christmas, wao husherehekea sikukuu yao 7th January, kanisa na waumini wa orthodox church hawana Christmas.

Afadhali kwq kutoa facts,maana mapovu yalianza. Umefafanua kwa mifano tena nchi za Kikristo hizohizo. Kule Ujerumani Eid hakuna lakini watu na imani zao husherehekea kimyakimya kulinda imani yake. By the way Sherehe za Sikukuu za dini siyo lazima ule bata na KUZINI,omba Mungu kimyakimya na maombi yako yatafika. Huku kujifaharisha hakuna maana yoyote!
 
Acha ulofa ww.heshimuu taratibu za nchi za watu punguza umbea.aliekuuliza nani sasa au ndio unatujuza kua upo ulaya?
 
Kwani siwanamwamini issa bin mariam, sasa kwanini wasisherekee kuzaliwa kwake, hebu wakumbushe quran
Hata wewe mkristo hujui tarehe ya kuzaliwa Yesu. Hata jinsi alivyozaliwa hujui. Issa bin Mariam alizaliwa chini ya Mtende na mama yake alitibiwa kwa tende kutokana maumivu ya uzazi. Na katika nyakati hizo Mariam alijitenga na watu wake. Nyie mwasema alizaliwa kwenye zizi la Ng'mbe wapi na wapi. Kisha mwasema Yusuf Seremala baba yake aliambatana ma Mariam. Wakati ukweli ni kwamba Yusuf alipogundua Mariam ana mimba alijitenga naye kabisaaa. Kutokana na upotofu wenu na sumu nyingi mliyokula kutoka kwa wazushi wenu basi endeleeni tu. Sisi wacha tuendelee na mambo mengine
 
Mkuu hii asilimia 70 umeipata wapi? Mimi nikichukua sample ya darasa langu la Engineering nililosoma, kati ya wanafunzi 32, wote tulikuwa waislamu. Wenzangu wengi tu waliokuwa wanasoma vyuo mbalimbali sijawasikia wakisema kuna darasa linafikisha hata wanafunzi watatu wasiokuwa waislamu. Mitaani tulikuwa tunaishi wakristo pia hawakuwa wanajulikana. Sasa hii asilimia 30 ya wasiokuwa waislamu inatoka wapi?

Wamezoea kupika data hata hapa Tanzania wanasema wakristo wako 70%
 
data za polulation distribution by religion in Turkey, muslims ni 99.6%, Jews ni 0.34% na christians 0.13%,
 
Niliwahi kuwa Cairo Misri siku ya Christmass, hakukuwa na shamra shamra yeyote. Nilifanya ibada yangu kwenye chumba changu cha hoteli, nikawapigia simu ndugu na jamaa kuwatakia kheri,baada ya hapo nikatoka kwenda kula. Moyoni nilijua nimesherehekea Christmas
Hata wa-coptic hawasherehekei sikukuu hizi?
 
Siku nyingine kabla ya kuandika mada au kulaumu kitu jaribu kujitafakari kwanza,

Hivi unafikiri kila nchi Duniani wanafuata utaratibu wa Sikukuu zote kama ilivyo Bongo?

Nafikiri nia yako kubwa ya kuanzisha hii thread ilikuwa ni kujitangaza kuwa na wewe upo Turkey kikazi.

Mi nilishawahi kwenda jirani tu, Zimbabwe hawa jamaa hawana cha Eid wala Maulidi. Wao ni sikukuu za Kikristo.
 

Attachments

  • 1451107225161.jpg
    1451107225161.jpg
    42.2 KB · Views: 112
Watu wanapigana vita.toka enzi za kale lakini wana maendeleo wewe unahubiri amani.unashindwa hata kutengeneza spares za toyo.waache na imani zao.pumffffff.
 
Kua mjinga sio mpaka ujinyeee.kila taifa lina taratibu zake.kama zako unaziona bora na wao wanakuona ovyo tu.fuata yalio kupereka huko tofauti na hapo rudi kwa bongo jumamosi ya mwisho wa mwezi usafi.maana hatuna ata uwezo wa kukusanya taka.ovyooooooooo
 
Back
Top Bottom