We lofa kweli sasa uturuki wakipiga chini ckukuu ya kipagani unasema udini?
Hizi dini zetu zote ni mapokeo tu, tarehe 24/12 Kwani ndo siku alizaliwa Mohamed au 25/12 Yesu alizaliwa kweli?. Sasa nani mpagani kama dini zetu hizi si za kipagani.
Jambo moja tu ni kumwamini Mungu na huyo ndo atakaye kufunulia namna ya kumcha Mungu. Otherwise haya madhehebu yenu yote ni makusanyiko tu.