Uturuki ni taifa la kiislamu,chepuka ujerumani ukale sikukuu yako
Mbona USA ni taifa la wakristo lakini waislamu wanaselebuka na idd yao bila kuingiliwa?
Uturuki ni taifa la kiislamu,chepuka ujerumani ukale sikukuu yako
Ni utaratibu tu wa nchi husika. Ndio maana unaambiwa ukienda kwa watu ishi kama ulivyokuta wanaishi usianze kutaka kuingiza utaratibu wako. Sio kila mtu ana amini unacho amini wewe
isa bin mariam na yesu ni watu wawili tofauti
Siku nyingine kabla ya kuandika mada au kulaumu kitu jaribu kujitafakari kwanza,
Hivi unafikiri kila nchi Duniani wanafuata utaratibu wa Sikukuu zote kama ilivyo Bongo?
Nafikiri nia yako kubwa ya kuanzisha hii thread ilikuwa ni kujitangaza kuwa na wewe upo Turkey kikazi.
Uturuki ni taifa la kiislamu,chepuka ujerumani ukale sikukuu yako
Tatizo hakuna andiko linalosema leo ni siku ya kuzaliwa kristo ndo mana wameshindwa kuiadhimisha kama taifa
Basi wamekusikia hawatakubaliwa mila na desturi pamoja na dini kuzipeleka kwenye nchi walizohamia ( maana umeongea kama wewe ni raia wa hizo nchi zinazoombwa kuutambua uislamu na mila zake )Lakini waturuki hao hao wakiwa Ujerumani (waturuki ni asilimia kubwa haswa ya wahamiaji Ujerumani) wanataka mila na tamaduni zao za kiislam zihesimiwe.. Na pia kuhubiri misikitini Ujerumani juu ya ?uozo na kufru? za tamaduni za kimagharibi.mtu unabaki unashangaa tu. Ukiangalia pia Somalia na Tajikistan na brunei pia wamepiga marufuku sherehe hizi. Kama wao hawataki kuruhusu dini/tamaduni za wengine basi nao wasilalame dini/tamaduni zao zikipigwa vita huko wanakohamia
Basi wamekusikia hawatakubaliwa mila na desturi pamoja na dini kuzipeleka kwenye nchi walizohamia ( maana umeongea kama wewe ni raia wa hizo nchi zinazoombwa kuutambua uislamu na mila zake )
nimesikitika kuona baadhi ya nchi wanaendekeza udini kupita maelezo. nipo uturuki kwa mda kama mwezi kikazi. nimeshangaa kuona leo dunia inaadhimisha sikuku ya kuzaliwa yesu lakini kwa hii nchi tofauti kidogo. watu wameenda kazini, vyuoni, shule na shughuli zote za maendeleo zinaendelea kama kawaida. nimemuuliza dogo mmoja ananiambia ndo ilivo kwa kawaida hakuna mapumziko ya chrismas wala pasaka. mapumziko ni siku za eid tu. nimesikitika kwa kweli nimekumbuka tanzania yangu. sikutegemea kama udini upo juu kiasi hiki kwa nchi kama uturuki!!!
Mi naona Waturuki wapo sahihi kutotambua x.mass maana hata kwenye maandiko haipo. Hakuna sehemu inaeleza kuwa Yesu alizaliwa 25 DEC? Kama ushahidi wa vitabu vitakatifu upo bayana basi tuonyeshe hapa. Vinginevo we waturuki wap? sahihi kuliko wewe maana umejitungia kitu kisich?kuwapo.nimesikitika kuona baadhi ya nchi wanaendekeza udini kupita maelezo. nipo uturuki kwa mda kama mwezi kikazi. nimeshangaa kuona leo dunia inaadhimisha sikuku ya kuzaliwa yesu lakini kwa hii nchi tofauti kidogo. watu wameenda kazini, vyuoni, shule na shughuli zote za maendeleo zinaendelea kama kawaida. nimemuuliza dogo mmoja ananiambia ndo ilivo kwa kawaida hakuna mapumziko ya chrismas wala pasaka. mapumziko ni siku za eid tu. nimesikitika kwa kweli nimekumbuka tanzania yangu. sikutegemea kama udini upo juu kiasi hiki kwa nchi kama uturuki!!!
nimesikitika kuona baadhi ya nchi wanaendekeza udini kupita maelezo. nipo uturuki kwa mda kama mwezi kikazi. nimeshangaa kuona leo dunia inaadhimisha sikuku ya kuzaliwa yesu lakini kwa hii nchi tofauti kidogo. watu wameenda kazini, vyuoni, shule na shughuli zote za maendeleo zinaendelea kama kawaida. nimemuuliza dogo mmoja ananiambia ndo ilivo kwa kawaida hakuna mapumziko ya chrismas wala pasaka. mapumziko ni siku za eid tu. nimesikitika kwa kweli nimekumbuka tanzania yangu. sikutegemea kama udini upo juu kiasi hiki kwa nchi kama uturuki!!!
Wacha mrusi awaadabishe tu ndio maana nyerere alikataa udini katika nchi ila kueshimu sikukuu za watu ni muhimu sana ukawapa watu mapunziko kwa kua uislam uturuki ni asilimia 70 tu 30% sio waislam vipi Zanzibar hapo asilimia 90 ni waislam na 10 ni wakristo?
Mkuu hii asilimia 70 umeipata wapi? Mimi nikichukua sample ya darasa langu la Engineering nililosoma, kati ya wanafunzi 32, wote tulikuwa waislamu. Wenzangu wengi tu waliokuwa wanasoma vyuo mbalimbali sijawasikia wakisema kuna darasa linafikisha hata wanafunzi watatu wasiokuwa waislamu. Mitaani tulikuwa tunaishi wakristo pia hawakuwa wanajulikana. Sasa hii asilimia 30 ya wasiokuwa waislamu inatoka wapi?
Ni wapi kasema kuwa anajitangaza? mbona Watanzania mna akili nusu? kahoji hajajitangaza, uwe unasoma na kuelewa topic.
Muanzisha mada umechemka aisee.