Kumbe thread huchangiwa na wengi kutokana na content na sio title?

Not true.

Click hiyo excerpt usome nondo zilizomo kisha uone kama hypothesis yako bado ina hold water.

...............Naamu! CCM inayoongoza Serikali isiyokuwa na dini, nayo toka kale inazo dawa na sindano zake za kinga na matibabu. Miongoni mwa dawa na sindano hizo ni UMOJA wa Kitaifa, UADILIFU wa Viongozi, CHEO kama DHAMANA, na UONGOZI Bora wa Watu Kujiletea Maendeleo yao Wenyewe. Vifuko (Packages) vya dawa hizi, vingi vilijumuhiswa na kufanywa kifurushi kimoja cha dawa iitwayo AZIMIO la Arusha........
 
sobhuza, mi mwenyewe napenda ila ya kimombo siyo kiviiile coz kalugha nako sometimes mombasa raaa!! lol

Huyu Garett ni mfanza violin wa kijeremani, kwa wanaoweza kumfahamu ni yule aliyepiga wimbo wa Smooth Criminal (Violin version), na alitumbuiza kwenye fainali ya UEFA Champions League mwaka huu mjini Munich.
Namkubalije?
 
Last edited by a moderator:
Huyu Garett ni mfanza violin wa kijeremani, kwa wanaoweza kumfahamu ni yule aliyepiga wimbo wa Smooth Criminal (Violin version), na alitumbuiza kwenye fainali ya UEFA Champions League mwaka huu mjini Munich.
Namkubalije?
Sobhuza kumbe we mkareeeeeeeeeeee,big up.
 
Wakati mwingine siyo content wala title bali nani kaandika...JF kuna watu wenye ushabiki wa wengine hata wakisema pumba na wengine hata waseme nini hawashabikiwi kwa sababu ya damu zao

Hii kama ina kaukweli flani hv.
Ila,Sandakarawe....!!!
 
Back
Top Bottom