Msolid1990
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 144
- 49
Prove me wrong.
Hata sijaelewa, content na title ndio kitu gani?
...............Naamu! CCM inayoongoza Serikali isiyokuwa na dini, nayo toka kale inazo dawa na sindano zake za kinga na matibabu. Miongoni mwa dawa na sindano hizo ni UMOJA wa Kitaifa, UADILIFU wa Viongozi, CHEO kama DHAMANA, na UONGOZI Bora wa Watu Kujiletea Maendeleo yao Wenyewe. Vifuko (Packages) vya dawa hizi, vingi vilijumuhiswa na kufanywa kifurushi kimoja cha dawa iitwayo AZIMIO la Arusha........
sobhuza, mi mwenyewe napenda ila ya kimombo siyo kiviiile coz kalugha nako sometimes mombasa raaa!! lol
Sobhuza kumbe we mkareeeeeeeeeeee,big up.Huyu Garett ni mfanza violin wa kijeremani, kwa wanaoweza kumfahamu ni yule aliyepiga wimbo wa Smooth Criminal (Violin version), na alitumbuiza kwenye fainali ya UEFA Champions League mwaka huu mjini Munich.
Namkubalije?
Hata sijaelewa, content na title ndio kitu gani?
Title means Heading .
Contents means maudhui.
Au namie pia sijaelewa ?
Wakati mwingine siyo content wala title bali nani kaandika...JF kuna watu wenye ushabiki wa wengine hata wakisema pumba na wengine hata waseme nini hawashabikiwi kwa sababu ya damu zaoProve me wrong.
Wakati mwingine siyo content wala title bali nani kaandika...JF kuna watu wenye ushabiki wa wengine hata wakisema pumba na wengine hata waseme nini hawashabikiwi kwa sababu ya damu zao
Wakati mwingine siyo content wala title bali nani kaandika...JF kuna watu wenye ushabiki wa wengine hata wakisema pumba na wengine hata waseme nini hawashabikiwi kwa sababu ya damu zao
Sobhuza kumbe we mkareeeeeeeeeeee,big up.