Ongea ya vijana wa Arusha ni kutokana na athari za janga la ulevi au ni asili yao?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,260
Kuna clips nyingi nimeziona mitandaoni zikionyesha mahojiano ya online TV na vijana wa Arusha kama wakiwa katika hali za ajabu ajabu kama walevi fulani wa pombe kali au mihadarati.

Wengi wao niliowaona wanaonekana ni wadogo sana ila wanaonekana wakiwa na sura zilizochoka sana kutokana na ulevi na wanazungumza na kuenenda kama mazombi fulani.

Sina hakika kama huo ni uongeaji wao asili, kama sio uongeaji wao wa asili bali ni kutokana na pombe au mihadarati serikali na mashirika binafsi yanahitaji kuingilia kati kuwakoa vijana hao kama sehemu muhimu ya taifa letu.
 
Wazee wa dwasi ya fasi akili zao wanazijua wenyewe.
Pombe na kushindana usela mavi
Kama hauwezi kuongea kama vile wanavyoongea, kama hautaweza kucheza muziki kwa ile style yao ya kupinda miguu na kuinama huku kiuno na tutako umevibunua kwa Juu, basi sahau kung'oa demu wa Chuga, labda umpate aliyehamia chuga.
 
Kama hauwezi kuongea kama vile wanavyoongea, kama hautaweza kucheza muziki kwa ile style yao ya kupinda miguu na kuinama huku kiuno ma titako umevibunua kwa Juu, basi sahau kung'oa demu wa Chuga, labda umpate aliyehamia chuga.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna clips nyingi nimeziona mitandaoni zikionyesha mahojiano ya online TV na vijana wa Arusha kama wakiwa katika hali za ajabu ajabu kama walevi fulani wa pombe kali au mihadarati.

Wengi wao niliowaona wanaonekana ni wadogo sana ila wanaonekana wakiwa na sura zilizochoka sana kutokana na ulevi na wanazungumza na kuenenda kama mazombi fulani.

Sina hakika kama huo ni uongeaji wao asili, kama sio uongeaji wao wa asili bali ni kutokana na pombe au mihadarati serikali na mashirika binafsi yanahitaji kuingilia kati kuwakoa vijana hao kama sehemu muhimu ya taifa letu.
Bila picha umbea!
 
Back
Top Bottom