Je, kuna Mtanzania anaingiza kipato kutokana na Teknolojia hii ya Artificial Intelligence?

Job zipo upwork, kuna job nimetoka kuichek now inaitwa Levarage AI .

Pia unaweza kuingiza hela kwa kutengeneza picha 'create image with AI" kiufupi mimi siingizi hela yoyote kwa AI
Maana yake unaangalia majibu inayotoa na kuya rate au kuyamodify.
Nimepiga sana kazi za bardi za hii kitu walikuwa wanakipa $22 per hour mwaka jana
 
Mtoa mada anataka Ai kwamba ikupe pesa direct yaani umeenda umeligeuza Ai boom mipesa sio hivyo, Ai inaingiza pesa kwa kurahisisha sehemu ya njia zako ya kuingiza pesa za zamani kama mimi sadahivi kuna vikazi vya kuandika andika napata senti tano tano kuna sehemu natumia ChatGPT ni kugusa tu naedit kidogo sana, pia natumia Google translate nayo ni Ai chapu tu.
 
Kwa kijana yeyote kama unatumia smartphone na kila siku unatumia mb na hazikuingizii hata $1 kwa siku Basi NI tatizo .
Kwangu smartphone inanipa kipato kupitia sehemu 2
1.Natangaza biashara zangu online Hii inanisaidia kupata wateja nje ya offline, hapa nitalipia Ads na kuboost matangazo yangu , sikosi wateja

2. Nafanya affiliation kwa hawa mabroker WA forex (sio kutrade Forex) huku weekly sikosi 100k-130k
 
Binafsi huwa nadeposit dollar 10 naikimbiza mpaka dollar 1000 kila mwezi... bundle langu haliishi bure.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-03-21-11-51-07-228_net.metaquotes.metatrader4.jpg
    Screenshot_2024-03-21-11-51-07-228_net.metaquotes.metatrader4.jpg
    255.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom