ni mtu ambae nimejifunza uislam. Wao wameamriwa kusali sabato, sisi tumeamriwa kusali sala tano kila siku. Ushaona tofauti apo au kipofu?Hivu ni sheikh wa uchochoro upi alikufundisha hii?Una ushahidi wa maandiko tofauti na hizi porojo?Maana fungu liko wazi linasema tuliwaamuru wana wa israil wewe unanipa kahawa za vijiweni....Haya sasa wana wa israil waliamriwa kusali siku ya sabato (quran4:47) na hiyo mnafata?
Narudia kukwambia kuwa sisi kilichoshuka katika Quran tunatumia kama reference hata kama kimeshushwa kwa Nabii Nuhu A.s as long as mtume wetu Muhammad s.a.w hakuambiwa afanye vyenginevyo.
Kama mmeamua vita why should there be mercy?nimeshakuonesha fungu(5:33) linaelezea mpaka jinsi ya kuwaua..yani kuwasulubu kuwakata mikono na miguu..mna muhammad alifanya hivo Astaghfirullah
Umeleta tatu lakini zote sifuri. Hoja zimeangushwa kiwepesi tu. Shida hamtaki somaaaa!Twendelee mpaka sasa umeleta moja mimi matatu
Mpaka sasa hujaonesha uhalali wanachokifanya ISIS zaidi ya kuleta aya ukiwa hujaelewa, lakini uzuri nimekuelewesha na ushahidi nikakuwekea, labda ubakie ufala wako tu tena.
Nyengine hio.
“Fight in the cause of God those who fight you, but do not transgress limits; for God does not love transgressors” (2:190)
ISIS wamevamia vijiji ambavo watu ata hawana habari za vita, watu hata waki surrender wao wanawaua tu, sasa sijui uhalali wenu mnaupata wapi?