chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Kumuweka mtu ndani bila ya kuhukumu kwa muda wa miaka saba au zaidi hiyo haiitwi kukekema hiyo inaitwa mateso na uvunjaji wa haki za Binaadamu,katika nchi inavyoongozwa na SheriaTukianza kuwakemea watu kama akina Aboud Rogo kama wale masheikh wa zanzibar....ndugu zao katika iman wanalipuka kuwatetea na kutuita wabaguzi
Moto hauzimwi Kwa moto,moto hizimwa na maji,kuwaweka watu ndani bila ya kuwahukumu kunaleta chuki..
Historia inaonyesha kuwa Vikundi vyenye itiadi kali hasa za dini na ukabila haviwezi kuzimwa kibabe, lazima kuwepo na dialogue,makubaliano,mapatano
Boko Haramu, Alshababu,Isis,na sasa hawa jamaa wa Msumbiji hivi vikundi vilianza kama masihara, Lakini vimekuwa na nguvu ya kupigana na Jeshi la nchi
Kwa Tanzania,Kwani kuwapeleka mahakamani na kuwafungulia mashtaka, UAMSHO na Wengine,kama wemekosa wafungwe kama hawana Kosa waachiwe kwa kufanya hivyo serikali itakosa nini!?
Free Mazrui, and all Political prisoners