T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,856
- 46,950
Mwanamuqawana kimsboy njoo utusaidie@kimsboy. Njoo huku utupe tafsiri sahihi ya hili neno
Mwanamuqawana kimsboy njoo utusaidie@kimsboy. Njoo huku utupe tafsiri sahihi ya hili neno
Uislam wa ukweli ni ule wa BAKWATA, na yeyote anayebisha ni Gaidi
mzee nishakuonesha aya moja hapo juuNdiyo unionyeshe wanata aya gani na je mtume alifasiri vipi hiyo aya naaswahaba walizifanyia kazi vipi aya hizo. ?
Sasa usilazimishe uongo uonekane ukweli, hili huwezi na haliwezekani. Wato ambao mtume mwenyewe aliwapa lakabu ya "Mbwa wa Motoni" wewe unakuja kuleta dibaji kwamba wanafata aya na hadithi, aya gani hizo na hadithi zipi hizo ?
Hiyo inaonesha wako upande ganiSio viongozi wa Kiislamu tu hata viongozi Waislamu nao walikuwa vilaza kama huyo Erdogan. Magaidi yakiua wanakaa kimya ila ikitokea mtu anaongea kauli tu wanakuja juu. Yani wanaumizwa na maneno kuliko kuumizwa na mauaji
Wanakuwa brainwashed kirahisi sababu hiyo dini yao hawaijui vizuri..let us agree to disagree.
with all due respect wale jamaa huwa wana point ndomana wanafanikiwa kuwavutia vijana wengi.
Maandiko mengi ya kiislam yako upande wao
ukisoma Quran na hadith Vizuri actually unaweza ukadraw the logical conclusion kuwa uislam wa kweli upo ISIS na boko haram....kwingine kote umenajisiwa na watu wenye ajenda zao (kama haki sawa, tolerance, Lgbtq etc.)
Aya gani ya allah(alay'hi salatu wa salam) amewapinga ISIS?Wanakuwa brainwashed kirahisi sababu hiyo dini yao hawaijui vizuri..
Wanakamatwa kirahisi sababu hawajasoma vema, hawajui hii dunia inaedeshwaje!!!
Mtu abae kaisoma dini vema, anajua hii dunia inavyobiringishwa biringishwa, wala isingekuwa rahisi kuwatumikia vibaraka, wanaotumia aya chache za allah kwa manufaa yao binafsi.
Kwani umeisoma Quran ili iweje? Wewe ni muislam?Unataka nisome biblia ili iweje?Mimi ni mkristo?
ISIS ni wakristo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na aya ipi imekubaliana na ISIS. Kama unavyodai
Naam wanafuata Bibilia, ndani ndio unakuta aya ambayo inaamrisha kuwa kila mtu na kila kitu. Huwezi kukuta aya ndani ya Quran ambayo inaamrisha kuuwa kila mtu na kila kitu. Sasa kama ungekuwa mwerevu ungeanza kuleta hoja ambazo zina back up madai yao. Kusema Allahu Akbar kila mtu anasema , kama wewe ulivosema apo.Magaidi wanafuata biblia? Tangu lini gaidi akatamka Alleluya akijilipua, si mara zote wako na Allahu Akbar!!
mimi ni Gaidi....nlkuwa natafuta justificationKwani umeisoma Quran ili iweje? Wewe ni muislam?
mzee mbona unakimbia kifala ivo?Anza na aya ipi imekubaliana na ISIS. Kama unavyodai
Onesha hio justification basi
wewe usikimbie..mimi ninazo nyingi ila nilikuwahi kukuomba sura/aya inayonipinga.....haya twendeOnesha hio justification basi
Hajakimbia mtu hapa. Wewe umeanza kuleta madai na kujifanya eti umesoma Quran na hadithi. Sasa unaambiwa uthibitishe unaanza kuleta ufala?mzee mbona unakimbia kifala ivo?
Mimi ndo nimeanza kukuomba aya inayowapinga...twende tit for tat..yani ukinipa aya inayowapinga nakupa inayowasapoti bila kubishana
Haya anza twende...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajakimbia mtu hapa. Wewe umeanza kuleta madai na kujifanya eti umesoma Quran na hadithi. Sasa unaambiwa uthibitishe unaanza kuleta ufala?
Sasa tuanze unavotaka....
Quran: 5:32
Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.
Dalili za mtu ambae hakuusoma Uislam ndio huo. Kwa taarifa yako tu, Hukumu yoyote ambayo imeshushiwa jamii yoyote ndani ya Quran, inatumika kama reference ikiwa hakuna hukumu specified kwa umma. Quran imekuja kuendeleza yaliyoshushwa kabla ya Quran.sasa uzuri magaidi sisi sio wana israili kwahyo hilo fungu halituhusu.
Jifunze kuandika basi, ni Quran sio Kulan, au "r" ni matatizo ya yako ya kimatamshi na kimaandishi?kulan 9:29
"28. Enyi mlio amini! Hakika washirikina(wasiomuabudu Allah pekee) ni najisi, kwa hivyo wasiukaribie Msikiti Mtakatifu baada ya mwaka wao huu. Na ikiwa mnakhofia umasikini, basi Mwenyezi Mungu atakutajirisheni kwa fadhila yake akipenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima.
Aya inazungumzia wakati wa vita, ungekuwa umesoma Quran vizuri basi ungeelewa, lakini kwa bahati mbaya umekaririshwa ndio maana ukashindwa kutambua hilo. Na ukitaka ushahidi wa hilo, rudia kuanzia walau aya ya 25 ambayo inasema ivi "Hakika Mwenyezi Mungu amekunusuruni katika mapigano mengi, na siku ya Hunayni ambapo wingi wenu ulikupandisheni kichwa, lakini haukukufaeni kitu. Na ardhi ikawa dhiki kwenu juu ya upana wake. Kisha mkageuka mkarudi nyuma."29. Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii. "
Quran: 5:32
Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.
Waisrael waliagizwa kumuabudu Allah pia, au hujui hilo? 😀 Another proof that hujaisoma Quran.Hiyo ni 5:32??
maagizo kwa wana wa israili eti?
Sasa tuendelee 5:33 maagizo kwa waislam
Quran 5:33
😀 😀 😀 kuna kitu muhimu umesahau kuki bold. naki bold on your behalf;33. Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusuatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.libiwa, au kuk
wakristo hawampigi vita Allah na mtume wake?
Hivu ni sheikh wa uchochoro upi alikufundisha hii?Una ushahidi wa maandiko tofauti na hizi porojo?Maana fungu liko wazi linasema tuliwaamuru wana wa israil wewe unanipa kahawa za vijiweni....Haya sasa wana wa israil waliamriwa kusali siku ya sabato (quran4:47) na hiyo mnafata?Dalili za mtu ambae hakuusoma Uislam ndio huo. Kwa taarifa yako tu, Hukumu yoyote ambayo imeshushiwa jamii yoyote ndani ya Quran, inatumika kama reference ikiwa hakuna hukumu specified kwa umma. Quran imekuja kuendeleza yaliyoshushwa kabla ya Quran.
Jifunze kuandika basi, ni Quran sio Kulan, au "r" ni matatizo ya yako ya kimatamshi na kimaandishi?
Sasa hio aya wapi imesema upige na kuuwa?
Aya inazungumzia wakati wa vita, ungekuwa umesoma Quran vizuri basi ungeelewa, lakini kwa bahati mbaya umekaririshwa ndio maana ukashindwa kutambua hilo. Na ukitaka ushahidi wa hilo, rudia kuanzia walau aya ya 25 ambayo inasema ivi "Hakika Mwenyezi Mungu amekunusuruni katika mapigano mengi, na siku ya Hunayni ambapo wingi wenu ulikupandisheni kichwa, lakini haukukufaeni kitu. Na ardhi ikawa dhiki kwenu juu ya upana wake. Kisha mkageuka mkarudi nyuma."