Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,414
Uislamu unakataza ugaidi na ni haramu. Huwezi kuvamia vijiji na kuuwa raia alafu ukasema unapigana in the name of Islamu. NO, eleleweni kwamba any crime against humanity is totally unacceptable in islam. Jamani ulizeni waislamu halisi kuhusu dini ili mjue namna gani uislamu unapinga mambo ya kigaidi.
mnajua kujitetea kweli ila mkiambiwa ukweli mnakimbilia haya na maneno kutetea.
ukweli kubalini kama mnavosema kabila fulani na nyie mpo hivo