Kumbe jamaa wa Cabo Delgado wameanzia mbali?

Kumbe jamaa wa Cabo Delgado wameanzia mbali?

Sasa turudi kwenye maandiko ya Uislamu ambayo ni Qur'aan na Hadithi, natska uthibitishe ukweli wa uyasemayo kutoka katika viwili hivyo.
achana kwanza na maandiko...wewe umesema unapata taarifa sahihi za ISIS kutoka kwa wahusika....hao wahusika ni ISIS?
kama sio basi kaa kushoto na propaganda zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi yangu nimemaliza. Ujifunze siku nyingine usiandike mambo usiyo kuwa na ujuzi nayo.
swali dogo tu linakushinda.unaanza kuruka ruka
kwani kulwan 9:5 inasemaje?

"Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina(wanaoabudu Mungu tofauti na Allah yaani sio waislam) popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
achana kwanza na maandiko...wewe umesema unapata taarifa sahihi za ISIS kutoka kwa wahusika....hao wahusika ni ISIS?
kama sio basi kaa kushoto na propaganda zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi yangu nimeimaliza, ili tuendelee kutoka hapa na lako nimelimaliza, unatakiwa uthibitishe yale uliyo yasema.

Wapo waliokuwepo humo hushuhudia, wapo walio shiriki mapigani wakahisi ni dini, ila waliyoyakuta huko wakaamua kurudi na kuwalezea wasomi na kukiria ya kuwa walikuwa katika ujinga. Sasa thibitisha kauli zako huko nyuma.
 
... nyuma ya pazia mmarekani yupo

Kuna watu sio waislamu wanausoma uislamu kuliko Alie muislamu...

Muislamu anaejuaa uislamu vizuri hawezi mwaga damu ya mtu hvhv...kwani kwa Imani ya kiislamu miongoni mwa madhambi makuu matatu,baada ya ushirikina ni kuua nafsi isiyo na hatia.

KUUA NAFSI ISIYO NA HATIA NI MIINGONI MWA DHAMBI KUU TATU BAADA YA USHIRIKINA.

Sasa kama muislamu unalijua hilo kwanini ufanye hvyo?

Nyuma ya pazia kuna watu sio waislamu but wanaujua uislamu nje ndani nao wanaitwa wanafiki na walikuwepo ata enzi za mtume na walikuwa Safu za mbele ya mtume.
2479176_OPFOR_Soldiers.jpeg

Hao jamaa apo juu wakitua sehemu afu wakafanya fujo au mauaji ... Media nyingi utasikia waislamu WAISLAMU WAVAMIA NA KUUA UKI WAKISEMA ALLUH AKBAR..

Kumbe hao jamaa sio waislamu kabsa ni wanajeshi kikosi kazi.
 
swali dogo tu linakushinda.unaanza kuruka ruka
kwani kulwan 9:5 inasemaje?

"Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina(wanaoabudu Mungu tofauti na Allah yaani sio waislam) popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu si ushahidi wa hoja sababu, hili linafanyika endapo nchi ikiwa katika Sheria na inaendeshwa kwa Sheria za kiislamu, haya yanatoka kwa mkuu wa majeshi ambaye ni Amiri.

Hakuna swali lililo nishinda bali niliona unanipotezea muda na kuuliza maswali ya kitoto "Wingi unaanzia ngapi ?" . Wewe weka ithibati ya kauli zako.
 
Uzur wa Qur'an ni mtirirko wa aya zenye kutegemeana na kunyambuliwa kwa hadith sahihi.

Tofauti na Biblia so be careful.
Screenshot_20201112-145623.png

Soma kwa makini hyo aya ya 4,5&6 uone dini ya uislamu inavyopenda amani....

Afu hcho ni kisa ambacho waislamu walikuwa wanapigwa na kuuliwa so kulikuwa na makubaliano msimu wa miezi mitukufu battle zisimame japo makafiri walikuwa wanavunja Sana makubaliano.

Na makafiri walikuwa wanavizia msimu wa miezi mitukufu ndo wanaenda kuanzisha vita...

Na kuhusu maswala ya vita na mauaji kila mtume alikuwa na jeshi la na alipambana na wapinzani wake vile ipasavywo.
 
Huu si ushahidi wa hoja sababu, hili linafanyika endapo nchi ikiwa katika Sheria na inaendeshwa kwa Sheria za kiislamu, haya yanatoka kwa mkuu wa majeshi ambaye ni Amiri.

Hakuna swali lililo nishinda bali niliona unanipotezea muda na kuuliza maswali ya kitoto "Wingi unaanzia ngapi ?" . Wewe weka ithibati ya kauli zako.
"hiyo kufanyika endapo" ndo propaganda zenu mlizojiongezea westernized muslimas..
sasa wao mujahidina hawajui hayo wao ni kufuata maandiko to the dot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The problem is why killing innocent people...?
 
Hivi hizi stori huwa mnatoa wapi?
ndomana naonaga kubishana haya mambo ni kupotezeana muda..kwasababu inawezekana wewe unaujua ukweli ila unapotosha makusudi(taqqiya)

kati yako wewe na mwanazuoni ibn kathir nani anaijua quran?

ibn kathir kwenye kitabu chake cha tafsir anasema "popote pale muwaonapo(hata iwe msumbiji) sio huko kweny kuhiji tu..mkiwaona wauweni"
kama nlivyo weka alama ya kijani hapo
Screenshot_2020-11-12-15-42-56-2.jpg

tena anatuambia "wasake popote muwaue wengine muwateke"... kasoro mkiwakuta wamejificha msikitini

Tena anaendelea kueleza kuwa sio kwamba muwasubirie wawavamie ndiyo mjilinde..NO WASAKENI popote..wafuatilieni waueni mpaka choice watakayo baki nayo ni kusilimu tu
Screenshot_2020-11-12-15-45-35-1.jpg

Abrogation(abrogated) Maana yake fungu la quran lilishuka(mf. quran 9:4) halafu baadaye Allah akaamua alifute na kuleta lingine(mf. quran 9:5)

Halafu mtu from bongoland amelala kitandani anatuambia hiyo aya inasisitiza amani...wakati hiyo 9:5 ndo inakatisha mikataba ya amani iliyokuwepo zamani.
(9:5 imemfuta 9:4 kama hujui)

hiyo sura ilishuka baada ya ile miezi minne waliyopewa ya rehema na mikataba ...ikaja kufuta hiyo mikataba na kuamuru Vita iwe ni vita mura ni kuwasaka na kuwaua tu mpaka waseme Lailaha ila Allah..
Screenshot_2020-11-12-15-48-52-1.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2020-11-12-15-42-56-2.jpg
    Screenshot_2020-11-12-15-42-56-2.jpg
    36.3 KB · Views: 8
Mzee sisi ktk dini yetu kulipiza kisasi ni haki....ukitupiga kofi moja huenda ukachezea mawili ya nguvu.

Na apo zamani waislamu tulikuwa na dola yetu...na makafiri walikuwa wanajaribu kila mbinu kuua dola ya kiislamu na vita ilikuwa inapigwa kweli adi baadae dola ya kiislamu ikaanza kupoteza.

Sipingi makafiri bado adi Sasa tunawapiga vta nao wanapambana kutupiga vita usiku na mchana...ndomana nasema uskute hii misheni ya msumbiji ni vita ya kipropaganda ya makafiri dhidi ya uislamu.

Makafiri wanambinu nyingi Sana kupambana na uislamu na waumini wengne...mbali na mambo maovu wanayosambaza,magonjwa na ushetani wao,Mfano hili kundi la ISIS nyuma ya pazia kuna hao makafiri.

So,tunaposema kuwapiga vta makafiri,usifikiri wanapigwa vta kwa kuonewa.....ndo Mana nimesema soma aya ya 4,5 na 6....utaelewa,,makafiri walio salama kwetu hatuna vita nao...mfano apa Tanzania.

Embu angalia somalia na kenya...kenya wanapigwa kwa sababu ndogo tu ya kuingiza majeshi yake somalia na kuingilia vita isiyomuhusu...

Ni sawa na tanzania kupeleka majeshi yake msumbiji kitakachokuja kutokea ni Mungu tu atuepushe na haya mambo..

Afu kaa chini usomeshwe mambo ya kugoogle hzo tafsiri utapotea....Ayo mambo yanaenda na sira pamoja na hadithi.
 
Kutoka "sisi waislam ni wapenda amani" mpaka "sisi waislam ni watu wa visasi."

mzee huna cha kuniambia mimi sio fala wa kulishwa propaganda na mashehe wako unaotaka wanisomeshe kama mtoto wa vidudu ambao wanawapinga wasunni ambao wanawapinga washia ambao wanawapinga wahabi ambao wanawapinga waahmadiyya nk. nk.

Mimi najua kusoma na kuandika kwahyo nakupa facts kutoka sources zinazokubalika na makundi yote ya waislam hadi mujahid hao....Sasa kama wewe una akili na unajua dini kuliko Ibn Kathir na ushahidi kutoka hadith alizokuwekea kama za Sahih Muslim na sahih Bukhari
anzisha dini yako

So,tunaposema kuwapiga vta makafiri,usifikiri wanapigwa vta kwa kuonewa.....ndo Mana nimesema soma aya ya 4,5 na 6....utaelewa,,makafiri walio salama kwetu hatuna vita nao...mfano apa Tanzania.
wewe vipi;ina maana yale maelezo hujayaelewa?
aya ya 4 kulikuwa na mikataba ya amani aya ya 5 mikataba ikafutwa
Nakwenye quran ukiona mafungu yanakinzana fuata amri ya mwisho maâna allah alikuwa anabadiliķa badilika kulinğana situation

Kafir alie salama kwenu ni aliyekubali kutawaliwa na dola ya kiislam na si vinginevyo...mtu hata akisema Yesu ni Mungu tayari ni Adui wa Islam na mtume na anaingizwa kundi la watu wanaopaswa kuuliwa

"kuwatafuta popote walipo na kuwaua makafiri kwasababu tu hawaamini katika Allah na mtume wake" hiyo ni haki?

(Makafiri walio salama) ni wale wanaokubali kutawaliwa na waislam na kukandamizwa na kulipishwa kodi ya kutokuwa muislam(jizya) hiyo ni haki?

Maybe kwako ni haki lakini kwetu tusio waislam sio haki mzee

Na huu mpango sio kwamba ni kwaajili ya nchi za kiislam tu ni wa dunia nzima..

Tatizo nakupa facts na sources wewe unaleta porojo
Au nielekeze kwa shekh wako wa mtaani aiyesoma kuliko ibn kathir akanisomeshe
Twende fungu lingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"hiyo kufanyika endapo" ndo propaganda zenu mlizojiongezea westernized muslimas..
sasa wao mujahidina hawajui hayo wao ni kufuata maandiko to the dot.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunasema hawaijui Qur'aan wala Hadithi, sababu mtume ametuacha katika hali ambayo usiku wake ni sawa na mchana wake.
 
Ndiyo maana tunasema hawaijui Qur'aan wala Hadithi, sababu mtume ametuacha katika hali ambayo usiku wake ni sawa na mchana wake.
poa...nyie endeleeni na Bid'ah zenu wao wana imani kali wanafata quran na hadith za mtume...hawafuati shehe yule anasemaje na imam yule wa US anasemaje

stori za kijiweni bila sources saivi sizijibu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Ndiyo unionyeshe wanata aya gani na je mtume alifasiri vipi hiyo aya naaswahaba walizifanyia kazi vipi aya hizo. ?

Sasa usilazimishe uongo uonekane ukweli, hili huwezi na haliwezekani. Wato ambao mtume mwenyewe aliwapa lakabu ya "Mbwa wa Motoni" wewe unakuja kuleta dibaji kwamba wanafata aya na hadithi, aya gani hizo na hadithi zipi hizo ?
 
Hivi msumbiji ina wanajeshi wangapi hadi watikiswe na wanajeshi elfu4
Wakati mwingine hizi nchi huwa zinataka tu matatizo hivi kweli jeshi zima la serikali la lenye mavifaru makombora na kila aina ya silaha wakiamua kazi si dakika kumi hicho kimsitu kimefyekwa

Waambieni msumbiji waache uzembe wambie pale kibiti tuliwafagia kwa dk 20 tu baada ya kuona ffu wanaleta utani
 
Uislamu unakataza ugaidi na ni haramu. Huwezi kuvamia vijiji na kuuwa raia alafu ukasema unapigana in the name of Islamu. NO, eleleweni kwamba any crime against humanity is totally unacceptable in islam. Jamani ulizeni waislamu halisi kuhusu dini ili mjue namna gani uislamu unapinga mambo ya kigaidi.
Uislam wa ukweli ni ule wa BAKWATA, na yeyote anayebisha ni Gaidi
 
ufaransa Macron alijitokeza kupinga ugaidi wa kiislam...uliona viongozi wa kiislam walivyoreact??

Lakini matukio ya kigaidi yakifanyika huwa wanasema kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio viongozi wa Kiislamu tu hata viongozi Waislamu nao walikuwa vilaza kama huyo Erdogan. Magaidi yakiua wanakaa kimya ila ikitokea mtu anaongea kauli tu wanakuja juu. Yani wanaumizwa na maneno kuliko kuumizwa na mauaji
 
Utakuwa hujasoma vizuri Quran na hadith, mana ukisoma vizuri utajua kuwa kuwa wanachokifanya wao hakimo ndani ya Quran lakini ukiisoma Bibilia basi utajua kuwa wanafuata Bibilia inavotaka. Tatizo hamusomi Bibilia vizuri mkaona inakuamrisheni nini mnainajisi kwa matamanio y nafsi zenu tu.
Magaidi wanafuata biblia? Tangu lini gaidi akatamka Alleluya akijilipua, si mara zote wako na Allahu Akbar!!
 
Back
Top Bottom