Kumbe jamaa wa Cabo Delgado wameanzia mbali?

Kumbe jamaa wa Cabo Delgado wameanzia mbali?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Nilikuwa napita mitandaoni kuangalia wale insurgents wa huko Msumbiji. Inaonekana wale jamaa walianza kama wafuasi wa mhubiri mwenye mrengo mkali wa Mombasa Aboud Rogo. Baada ya Rogo kuuawa mwaka 2012 wafuasi wake wakakimbilia Tanzania na kuanza kukaa huko Kibiti na kufanya mauaji. Wanasema waliua zaidi ya watu 40.

Baada ya jeshi kufanya operation wakakimbilia Msumbiji mwaka 2015 na mwaka 2017 wakaanza mashambulizi rasmi. Inasemekana wameua zaidi ya watu 1000. Wanaua vibaya sana, wanachinja na kuchoma moto watu hai.

Wanashirikiana na ISL na imewafanya wawe na nguvu sana hata ya kushambulia wanajeshi. Vijana wasio na ajira wanamiminika kujiunga nao, inakadiriwa wana memba kama 4,000 hivi. Pia ndani yao kuna polisi na wanajeshi wastaafu.

Msumbiji wamekaliwa pabaya hadi wameomba msaada EU, SA na Urusi.
 
Tukianza kuwakemea watu kama akina Aboud Rogo kama wale masheikh wa zanzibar....ndugu zao katika iman wanalipuka kuwatetea na kutuita wabaguzi
Ni akina ZZK tu ndiyo hawana akili za kutambua hatari hiyo. Kwa ufupi uislam ulishaingiliwa na unajajisiwa na watu wachache wenye ajenda binafsi, ila dini kama dini uislam ni dini nzuri sana.
 
Ni akina ZZK tu ndiyo hawana akili za kutambua hatari hiyo. Kwa ufupi uislam ulishaingiliwa na unajajisiwa na watu wachache wenye ajenda binafsi, ila dini kama dini uislam ni dini nzuri sana.
let us agree to disagree.

with all due respect wale jamaa huwa wana point ndomana wanafanikiwa kuwavutia vijana wengi.
Maandiko mengi ya kiislam yako upande wao

ukisoma Quran na hadith Vizuri actually unaweza ukadraw the logical conclusion kuwa uislam wa kweli upo ISIS na boko haram....kwingine kote umenajisiwa na watu wenye ajenda zao (kama haki sawa, tolerance, Lgbtq etc.)
 
Dogo ina maana unataka hao mujahidina wenzako waachwe tu bila kupamdikiziwa mashushu kama anavyofanya Israel kwa Hamas
we bwana! kwamfano tumpandikize Bwana Paulo John tukambatiza jina la Muhammad Alli akifika kule si itakuwa virahisi kumgundua mzee...anaulizwa tu shahada inasemaje au sura fatwa inasemaje anapoteana.

Tukisema tumpeleke Abdul Hassan nayeye akifika kule anaweza kusomeshwa hadith na quran mpaka akaamini kumbe alikuwa amepotea uislam wa kweli...mwisho wa siku ataanza kuwapa mujahidina siri za nchi na jinsi alivyotumwa na mipango yetu ili aongezewe mabikra ahera
 
Hata wale Chibuku Girls wa Nigeria waliokolewa wengjne walirejea kule kule.
 
Hata wale Chibuku Girls wa Nigeria waliokolewa wengjne walirejea kule kule.
ni ngumu sana kudeal na hawa jamaa...nliona clip za maisha yao ya boko haram youtube huko kenya na Sudan
Kuna vijiji vimetekwa watu wanaishi chini ya utawala wa hao jamaa
sheria wanafata za kiislam ikifika ijumaa maduka yanafungwa kila mtu msikitini.
ikitokea njaa wale jamaa wanaenda kuteka maghala wanaleta chakula.
kwenye hivo vijiji kuna baadhi ya watu wanahojiwa wanawasifia boko haram
kwahyo itakuwa ngumu sana kuwavamia kama wamasaidiwa mpaka na wanakijiji.

(wanatumia mbinu sana za psychological manipulation...wanawatesa na kuwapa matunda at the same time)
 
Uislamu unakataza ugaidi na ni haramu. Huwezi kuvamia vijiji na kuuwa raia alafu ukasema unapigana in the name of Islamu. NO, eleleweni kwamba any crime against humanity is totally unacceptable in islam. Jamani ulizeni waislamu halisi kuhusu dini ili mjue namna gani uislamu unapinga mambo ya kigaidi.
 
Ni akina ZZK tu ndiyo hawana akili za kutambua hatari hiyo. Kwa ufupi uislam ulishaingiliwa na unajajisiwa na watu wachache wenye ajenda binafsi, ila dini kama dini uislam ni dini nzuri sana.
Ulichoandika ni kitu kweli kabisa, mambo binafsi na yenye siri kubwa sana ndio hupoteza watu/vijana wengi kwa upofu uliosababishwa na kukosa taarifa sahihi na kisha kutumbukia wasipopajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
let us agree to disagree.

ukisoma quran na hadith Vizuri actually unaweza ukadraw the logical conclusion kuwa uislam wa kweli upo ISIS na boko haram....kwingine kote umenajisiwa na watu wenye ajenda zao(kama haki sawa,tolerance,Lgbtq etc.)

Je kwa uelewa wako unadhani ni kweli Uislam ni tatizo au tatizo ni baadhi ya Waislam ambao wanaamua kuhubiri chuki dhidi ya watu flani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je kwa uelewa wako unadhani ni kweli Uislam ni tatizo au tatizo ni baadhi ya Waislam ambao wanaamua kuhubiri chuki dhidi ya watu flani?

Sent using Jamii Forums mobile app
nikiwa mkweli nawewe 100% tatizo ni uislam.
maana wanaohubiri chuki hawazitoi kuzimu wanazitoa humo humo kwenye sources za uislam.

Leo Tukiamua mimi nawewe tushindane...wewe unanipa kifungu kutoka quran/hadithcha kuhubiri amani,tolerance na upendo(kwa kila mtu sio muislam tu) halafu mimi nakupa kifungu kinachohubiri chuki,ukandamizaji,ugaidi nk.

halafu tuangalie nani ataibuka mshindi
kama tumeweka kila kifungu unapata 10,000/=

wewe utanila haizidi 50,000/= ila mimi nitaondoka milionea

ishu ni kwamba 90% ya uislam wa leo umechakachuliwa na watawala,wanasiasa,teknolojia,utandawazi nk. nk.
kwahyo 90% ya waislam hawaufuati ule wa vitabu na ndo tunapata waislam wapenda amani, na kila mtu asiye muislam anatamani uislam ubaki hivo hivo
ila ishu ni kuwa hii 10% hawajapotezwa na mambo ya dunia kama pombe,club,wanawake nk. Na wanawaambukiza hawa 90%.... Na wao ndo wanafata mpaka herufi ya uislam na ndo tunawapata ISIS
 
Back
Top Bottom