Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,410
Usizungumze vitu ambavyo huna elimu navyo, unazidi kujidhalilisha ewe fala. Hujui hata abrogation nini ukatolea mfano Quran 9:4 na 9:5, basi 9:6 nayo ime abrogate ya nyuma yake, na 9:7 imefanya ivo na kuendelea. 😀 😀 😀
Abrogated verses mfano wake ni kama pale kuna aya (mfano) inasema mzinifu apigwe mawe, halafu kuna verse nyengine inasema mzinifu apigwe bakora, huku hio inayosema apigwe bakora ikiwa imekuja baada au moja ikiwa haijazungumza suala kiundani na nyengine imezungumza kiundani zaidi. Hili pia unashindwa kugoogle unakuja kutuletea ujinga?
Kama unaweza kumbishia mpaka ibn kathir kuwa hiyo verse haikuwa abrogated...mimi ni nani wa kubishana nawe
Kama ibn kathir anasema fight them wherever you find them maana yake popote pale duniani ukiaona wapige...Halafu wewe kima wa Jamiiforums unasema hiyo inamaana ni kwenye nchi ya kiislam tu...Basi mimi Naishia hapa