Kumbe jamaa wa Cabo Delgado wameanzia mbali?

Kumbe jamaa wa Cabo Delgado wameanzia mbali?

Tafsiri ni pale aya imeandikwa kwa kiarabu wewe ukaiweka kwa kiswahili, hio ndio tafsiri, ulichoonesha kwa ibn kathir, ni maelezo. Naona unazidi kujidhalilisha tu.
em uliza waislam wenzio bwana unanipotezea muda.

Na nikakupa maelezo juu ya vifungu ivo kuwa vinatumika kwenye vita.
Haya maelezo uliweka ushahidi au ulitoa kichwani?
Na hakuna sehemu nimesema kupigana haimaniishi kuuwa, mnafiki na mzandiki ndio kawaida yako. Umesema kuhusu Allah kuwachukia mayahudi ndipo nkakwambia kuchukia sio mpaka uuwe. 😀
Hapa nilikuwekea fungu linasema piganeni na makafir ukajibu hivi[emoji116]
Sasa hio aya wapi imesema upige na kuuwa?
Unatafuta uchochoro wa kukimbia?
Hamna nimechoka kupoteza muda na fungu moja wakati ninayo mengi wewe una moja tu..unanitungia tumaelezo mimi nakuwekea tafsir za wanazuoni.

na tulikubaliana ni bamba to bampa
Leta fungu lingine au yameisha niporomoshe lingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
em uliza waislam wenzio bwana unanipotezea muda.
"The honorable ayah was revealed with the order to fight...." Hebu nipe tafsiri ya haya maneno

Haya maelezo uliweka ushahidi au ulitoa kichwani?
Ushahidi nimekuwekea tena ni wa aya wenyewe sio maelezo ya ibn kathir, kwa sababu umejaza ufala kichwani ndio mana ukajifanya kipofu.

Hapa nilikuwekea fungu linasema piganeni na makafir ukajibu hivi
Nimekwambia unioneshe hio aya ulioiweka uoneshe wapi imesema upige na kuuwa ndio? umeonesha? umeonesha wapi hio aya imesema upige? umeonesha wapi hio aya imesema uuwe?

Hamna nimechoka kupoteza muda na fungu moja wakati ninayo mengi wewe una moja tu..unanitungia tumaelezo mimi nakuwekea tafsir za wanazuoni.

na tulikubaliana ni bamba to bampa
Leta fungu lingine au yameisha niporomoshe lingine?
Hilo moja hadi sasa linakutoa jasho, hujalimaliza, unataka kujiongezea mzigo? Limalize moja kwanza kabla sijakushushia mengine. Usione haya kukimbia mjadala, tushawazoea nyie 😀
 
Mkuu mpaka naona aibu kujibizana nawewe jinsi ulivyo mweupe.

iko hivi Hoja hujibiwa kwa hoja na kwenye uislam kama unapinga kitu kipinge kwa ushahidi wa marejea ya uislam sio kwa viswahili ulivyoniandikia hapo

Unasema nimemquote vibaya ibn kathir..nakuomba wewe umquote vizuri kwenye hilo fungu.

Then kuhusu Allah kubadilika badilika yeye mwenyewe alisema
Quran 16:101 "When We replace a verse with another—and Allah knows best what He reveals—they say, “You ˹Muḥammad˺ are just a fabricator.” In fact, most of them do not know."

Hii kitu inaitwa Naskh

Na shule zote za kiislam zinakubali kuwa mafungu mengine yalifutwa yakaja mengine...(wanachopishana ni kuhusu yapi yalifutwa na yapi hayakufutwa)

yani nashangaa uislam unafundishwa na shehe gani hadi unazidiwa na mimi gaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Anyways tuachane maswala ya tafsir maana hayasaidii mjadala chochote...siku ukijua utajua

Ushahidi nimekuwekea tena ni wa aya wenyewe sio maelezo ya ibn kathir, kwa sababu umejaza ufala kichwani ndio mana ukajifanya kipofu.
hakuna kitu..unaquote aya halafu unanijazia maelezo kutoka kichwani mwako mimi natoa maelezo kwa wanazuoni wenu huoni tofauti?
Nimekwambia unioneshe hio aya ulioiweka uoneshe wapi imesema upige na kuuwa ndio? umeonesha? umeonesha wapi hio aya imesema upige? umeonesha wapi hio aya imesema uuwe?
Tunarudi tena kule kule mwanzo dah

Quran 9:29 Fight those who do not believe in Allah and the Last Day, nor comply with what Allah and His Messenger have forbidden, nor embrace the religion of truth from among those who were given the Scripture,until they pay the tax,

hapa ukasema ni kupiga ila sio kuua nikakupa ya kuua sasa
5:33 Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.

ukaleta viswahili kibao ambavyo mimi sina muda navyo saiz

Haya hili hapa bom lingine

9:5 Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyways tuachane maswala ya tafsir maana hayasaidii mjadala chochote...siku ukijua utajua
Ni muhimu kujua, maana ni aibu maelezo ya Quran kuyaita tafsiri, it shows how much knowledge you have, which is zero.

hakuna kitu..unaquote aya halafu unanijazia maelezo kutoka kichwani mwako mimi natoa maelezo kwa wanazuoni wenu huoni tofauti?
Nilikuletea aya kukuonesha kuwa scenerio inayozungumzwa ni ya kivita. Nikakuletea hadithi mafundisho ya mtu juu ya kuheshimu sheria za nchi unazoishi ili utambue kuwa sheria ndani ya Quran zinakuwa applied fully kwenye islamic state tu. Lakini ndio ivo tena, ujuha tu ulokuwa nao.

Quran 9:29 Fight those who do not believe in Allah and the Last Day, nor comply with what Allah and His Messenger have forbidden, nor embrace the religion of truth from among those who were given the Scripture,until they pay the tax,
Hii ndio aya ulioiweka na nikaquote kukuuliza wapi imesema upige na uuwe

"28. Enyi mlio amini! Hakika washirikina(wasiomuabudu Allah pekee) ni najisi, kwa hivyo wasiukaribie Msikiti Mtakatifu baada ya mwaka wao huu. Na ikiwa mnakhofia umasikini, basi Mwenyezi Mungu atakutajirisheni kwa fadhila yake akipenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima.

Unajirudisha mwenyewe tu naona.

hapa ukasema ni kupiga ila sio kuua nikakupa ya kuua sasa
5:33 Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Nakuekea hapa nilichokujibu kwenye aya hio

Capture.PNG

Sasa nioneshe hapo nliposema kuwa kupiga ila sio kuua. Nasubiri.

Haya hili hapa bom lingine

9:5 Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Jisifie tena umeleta nne 😀

Aya ya nyuma yake;

4. Isipo kuwa washirikina ambao mliahidiana nao kisha wasikupunguzieni chochote, wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi hao watimizieni ahadi yao mpaka muda wao. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wacha-Mungu

Mimi huwa nakuonesha scenario kupitia aya zenyewe kabisa. Kwaio hapo context ya kufika aya ya tano, wanazungumzwa wale ambao wapo dhidi yetu basi tuwawinde na kuwaua, na hapo basi tena ni masuala ya vita.

Nakuongeza na ya mbele yake ili utoke ufala

6. Na ikiwa mmoja wapo katika washirikina akikuomba ulinzi, basi mpe ulinzi apate kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu. Kisha mfikishe pahala pake pa amani. Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua kitu.

Niambie ISIS wamemsindikiza nani kwa amani huko msumbiji ambae sio muislam? 😀
 
Niambie ISIS wamemsindikiza nani kwa amani huko msumbiji ambae sio muislam? 😀
Kuna jamaa kaelezea apo juu wanashika watu...ukiwa mwanamke wanakufanya mke ukiwa mwanaume unachagua kusilimu au kuuwawa..ukisilimu unapigana jihad frontline
 
Kuna jamaa kaelezea apo juu wanashika watu...ukiwa mwanamke wanakufanya mke ukiwa mwanaume unachagua kusilimu au kuuwawa..ukisilimu unapigana jihad frontline
Ndio amani hio kulazimishwa? Je asiekuwa muislam akiwaambia naomba ulinzi wanamlinda?

Isijekuwa hujui tofauti ya amani na uwoga?
 
Ni muhimu kujua, maana ni aibu maelezo ya Quran kuyaita tafsiri, it shows how much knowledge you have, which is zero.
fanya research kidogo tu then urudi

Nilikuletea aya kukuonesha kuwa scenerio inayozungumzwa ni ya kivita. Nikakuletea hadithi mafundisho ya mtu juu ya kuheshimu sheria za nchi unazoishi ili utambue kuwa sheria ndani ya Quran zinakuwa applied fully kwenye islamic state tu. Lakini ndio ivo tena, ujuha tu ulokuwa nao.
Hizo hadith sijaziona...."Scenario ya vita" ni maelezo yako...sheria za kiislam zinakuwa applied kwenye Islami state tu ni maneno yako ambayo bika ushahidi sitayachangia chochoten
Hii ndio aya ulioiweka na nikaquote kukuuliza wapi imesema upige na uuwe

"28. Enyi mlio amini! Hakika washirikina(wasiomuabudu Allah pekee) ni najisi, kwa hivyo wasiukaribie Msikiti Mtakatifu baada ya mwaka wao huu. Na ikiwa mnakhofia umasikini, basi Mwenyezi Mungu atakutajirisheni kwa fadhila yake akipenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima.

Unajirudisha mwenyewe tu naona.
mimi niliyaweka kwa pamoja 28 na 29 naona unaanza kuchambua
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Pole sanaa mkuu...tatizo apo ni uelewa mdogo ulionao kuhusu mambo ya dini.

Naona hujui nini unaandika yaani unaropoka tu,ndomana nimekwambia uislamu ni dini ambayo ukisema ukae chini na ki laptop chako eti ugoogle then uanze kuongea,lazima utapotea.

Ndomana dini yetu swala la kujifunza limewekwa kipaombele tena kwa mtirirko mzur,tena kwa kupiga goti kwa mwalimu sahihi.

Unasema nimemquote vibaya ibn kathir..nakuomba wewe umquote vizuri kwenye hilo fungu
Uelewa wako mdogo ndo umepelekea umquote vibaya mwanazuoni huyo....hiyo aya ni aya ya upanga,wala haijashushwa kuja kuhalalisha mauaji kama unavyofikilia..

Allah ameharamisha kuua watu wasio na hatia

Kwa mujibu wa Quran, kumuua mtu asiye na hatia ni moja ya madhambi makubwa mno:

“…aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.” (al-Maida, 5/32)
“Na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyoiharamisha Mwenyezi Mungu isipo kuwa kwa haki, wala hawazini – na atakaye fanya hayo atapata madhara,” (al-Furqan, 25/68)
Kama inavyoonekanwa katika aya hapo juu, wale wanaoua watu wasiokuwa na hatia wanaonywa na adhabu kali. Allah anaeleza kuwa kumuua mtu mmoja ni uhalifu mkubwa mno kama kuua watu wote. Haiwezekani kwa mtu anayetii mipaka iliyowekwa na Allah kumdhuru hata mmoja achilia mbali kuua maelfu ya watu wasio na hatia. Wale wanaodhani kwamba wanaweza kuikwepa haki na kunusurika nayo hawatoweza kukwepa kisasi mbele ya Allah. Kwa hivyo, waumini wanaojua kwamba watalipiziwa mbele ya Allah baada ya kifo wanatenda mambo kwa uangalifu mno ili kutii mipaka iliyowekwa na Allah.

Then kuhusu Allah kubadilika badilika yeye mwenyewe alisema
Quran 16:101 "When We replace a verse with another—and Allah knows best what He reveals—they say, “You ˹Muḥammad˺ are just a fabricator.” In fact, most of them do not know."

Bado naona una poor understandability ya aya mambo.

Kaa chini ujifunze..uuelewe uislamu then usilimu uwe mwenye nuru Kwenye dini ya haki.

Allah habadilikibadiliki kama mwanadamu hana hyo sifa ....hizo aya ni zinafanyiwa modification kulingana na matukio.
Screenshot_20201113-084914.png

Na haimaanishi ikifutwa au ikisahaulishwa ndo tusiiamini au kuipuuza na kuamini iliyoletwa mpya...laah as long as aya imetoka kwa Allah tunabudi kuiamini na kuifanyia kazi.
 
Pole sanaa mkuu...tatizo apo ni uelewa mdogo ulionao kuhusu mambo ya dini.

Naona hujui nini unaandika yaani unaropoka tu,ndomana nimekwambia uislamu ni dini ambayo ukisema ukae chini na ki laptop chako eti ugoogle then uanze kuongea,lazima utapotea.

Ndomana dini yetu swala la kujifunza limewekwa kipaombele tena kwa mtirirko mzur,tena kwa kupiga goti kwa mwalimu sahihi.

Uelewa wako mdogo ndo umepelekea umquote vibaya mwanazuoni huyo....hiyo aya ni aya ya upanga,wala haijashushwa kuja kuhalalisha mauaji kama unavyofikilia..

Allah ameharamisha kuua watu wasio na hatia

Kwa mujibu wa Quran, kumuua mtu asiye na hatia ni moja ya madhambi makubwa mno:

Kama inavyoonekanwa katika aya hapo juu, wale wanaoua watu wasiokuwa na hatia wanaonywa na adhabu kali. Allah anaeleza kuwa kumuua mtu mmoja ni uhalifu mkubwa mno kama kuua watu wote. Haiwezekani kwa mtu anayetii mipaka iliyowekwa na Allah kumdhuru hata mmoja achilia mbali kuua maelfu ya watu wasio na hatia. Wale wanaodhani kwamba wanaweza kuikwepa haki na kunusurika nayo hawatoweza kukwepa kisasi mbele ya Allah. Kwa hivyo, waumini wanaojua kwamba watalipiziwa mbele ya Allah baada ya kifo wanatenda mambo kwa uangalifu mno ili kutii mipaka iliyowekwa na Allah.

Bado naona una poor understandability ya aya mambo.

Kaa chini ujifunze..uuelewe uislamu then usilimu uwe mwenye nuru Kwenye dini ya haki.

Allah habadilikibadiliki kama mwanadamu hana hyo sifa ....hizo aya ni zinafanyiwa modification kulingana na matukio.View attachment 1625387

Na haimaanishi ikifutwa au ikisahaulishwa ndo tusiiamini au kuipuuza na kuamini iliyoletwa mpya...laah as long as aya imetoka kwa Allah tunabudi kuiamini na kuifanyia kazi.
Bado kidogo....hauna fact yoyote
 
fanya research kidogo tu then urudi
Wewe umefanya tayari na ukajua kuwa kuna tafsiri ya aya na maelezo yake? Nilikuletea sentence kutoka kwa Ibn Kathir umeikimbia umeshindwa kuitafsiri.

Hizo hadith sijaziona...."Scenario ya vita" ni maelezo yako...sheria za kiislam zinakuwa applied kwenye Islami state tu ni maneno yako ambayo bika ushahidi sitayachangia chochoten
Huwezi kuona scenario ya vita kwa sababu hukusoma sura nzima bali umetoa aya moja. Siwezi kusema ni makosa, bali nasema umefanya hivo makusudi, mafala ndivyo wanavoingia kwenye mjadala, all the time huwa ni cowards wanaogopa kutizama context.

fanya research kidogo tu then urudi

Hizo hadith sijaziona...."Scenario ya vita" ni maelezo yako...sheria za kiislam zinakuwa applied kwenye Islami state tu ni maneno yako ambayo bika ushahidi sitayachangia chochoten
mimi niliyaweka kwa pamoja 28 na 29 naona unaanza kuchambua
Naam, kwenye mijadala inafanyika uchambuzi. Sasa cha kushangaza wewe huna uchambuzi uloweka kwenye "hoja" ama tuseme "vioja" unavodai kuwa umeweka.

Bado hujanambia wapi ISIS wamemsindikiza adui yao kwa kumpa ulinzi na amani...
 
Umeandika:

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

ibn kathir kwenye kitabu chake cha tafsir anasema "popote pale muwaonapo(hata iwe msumbiji) sio huko kweny kuhiji tu..mkiwaona wauweni"
kama nlivyo weka alama ya kijani hapo
View attachment 1624893
tena anatuambia "wasake popote muwaue wengine muwateke"... kasoro mkiwakuta wamejificha msikitini

Tena anaendelea kueleza kuwa sio kwamba muwasubirie wawavamie ndiyo mjilinde..NO WASAKENI popote..wafuatilieni waueni mpaka choice watakayo baki nayo ni kusilimu tu View attachment 1624895

Abrogation(abrogated) Maana yake fungu la quran lilishuka(mf. quran 9:4) halafu baadaye Allah akaamua alifute na kuleta lingine(mf. quran 9:5)

Halafu mtu from bongoland amelala kitandani anatuambia hiyo aya inasisitiza amani...wakati hiyo 9:5 ndo inakatisha mikataba ya amani iliyokuwepo zamani.
(9:5 imemfuta 9:4 kama hujui)

hiyo sura ilishuka baada ya ile miezi minne waliyopewa ya rehema na mikataba ...ikaja kufuta hiyo mikataba na kuamuru Vita iwe ni vita mura ni kuwasaka na kuwaua tu mpaka waseme Lailaha ila Allah..
View attachment 1624901

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Kwani kwenye vita huwa inakuaje? mnapeana keki mule? Mbona unakuwa mjing.a sana kiasi icho. Yaani mtu upo vitani eti unataka adui akujie kwako tu. Fools!

Usizungumze vitu ambavyo huna elimu navyo, unazidi kujidhalilisha ewe fala. Hujui hata abrogation nini ukatolea mfano Quran 9:4 na 9:5, basi 9:6 nayo ime abrogate ya nyuma yake, na 9:7 imefanya ivo na kuendelea. 😀 😀 😀

Abrogated verses mfano wake ni kama pale kuna aya (mfano) inasema mzinifu apigwe mawe, halafu kuna verse nyengine inasema mzinifu apigwe bakora, huku hio inayosema apigwe bakora ikiwa imekuja baada au moja ikiwa haijazungumza suala kiundani na nyengine imezungumza kiundani zaidi. Hili pia unashindwa kugoogle unakuja kutuletea ujinga?
 
Bado kidogo....hauna fact yoyote
Tutaelewana tu hvyohvyo kidogokidogo mkuu...

Chukua na hii kama nyongeza.

Allah anaeleza yafuatayo katika Quran:

“Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.” (Aal-i Imran, 3/19)

Anatuhabarisha kuwa mitume wote waliteremshwa ili wawajuvye watu kuhusu dini hii na kwamba mitume wameonesha mifano ya mwanzo kwa watu.

Usilamu unamaanisha kuwa ni amani na usitawi. Mwisilamu maana yake ni mtu mwenye kupata amani na usitawi na mwenye lengo la amani na usitawi. Moja ya majina ya Allah ni “Salam” (Amani). Kwa mujibu wa hayo, yeye ndiye chanzo cha amani na usitawi. Mwisilamu anaejisalimisha Kwake ni mtu anaepata amani na utulivu katika ulimwengu wake wa ndani kwa kushikamana na chanzo cha amani na usitawi na kisha ni mwenye kutaka kufikisha amani hii kwa ulimwengu wa nje. Kwa hakika, Mwisilamu mwema anajaribu kujiweka mbali na aina zote za mkanganyiko, migogoro na hisia zenye kuidhuru amani ya ndani hata kama anaishi katika mazingira yasiyopendeza kabisa. Kwa hivyo, Mwisilamu anaeikusudia “Daru’s Salam’ (ardhi ya amani na usitawi), Pepo, amechaguliwa kuifanya dunia kuwa ni ardhi ya amani. Labda ni kwa sababu hii, mtu wa kwanza aliyeingizwa Peponi kabla ya kuja duniani; kwanza, aliumbwa aishi Peponi na aliandaliwa kwa utamaduni wa Peponi; kisha, akaletwa duniani. Vile kutumwa duniani, binadamu ana mapenzi na Pepo; anajaribu kujenga duniani kwanza na anaota angalau kuipata huko ahera.

Karibu Sana mkuu Kwenye Uislamu...karibu Kwenye amani achana na hzo propaganda za wamarekani.
 
Haya katafute na wajinga wengine wa kudanganya.....
( 13 ) Na wanapo ambiwa: Aminini kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo amini wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu, lakini hawajui tu.
(Al- baqara 2/13)
 
Jeshi kubwa na lenye nguvu Afrika ni Jeshi la Nigeria

Je Jeshi la Nigeria limechakachuliwa kwani Boko Haramu wamepamba moto huko..

Mkuu hivi vikundi Vina mikono mirefu,vina wafadhili Wengi wa ndani na wanje ya nchi

Hivi Vikundi vinazuka sehemu yenye utajiri rasilimali kama mafuta nk

Subiri Tanzania ianze kuwa na utajiri wa Mafuta au gesi,utaviona hivyo Vikundi,vitakuwa na nguvu na utakuja kujiuliza kama Jeshi la Tanzania limekuwa Corrupted
Kama nchi ikiwa na mshikamano hivi vikundi huwezi viona hata mara moja, na kama vikitokea haviwezi kusitawi.

UKIkiachana na rasilimaali ila hivi vikundi vinaangalia nchi ambazo tayari zishaanza kuwa na migogoro ya ndani/mipasuko na vyenyewe ndo vinatumia huo mwanya kukua.
 
Je Tanzania tuna mshikamano?
 
Kwa maoni yangu hali yetu ya mshikamano kwa sasa inaridhisha.

Ikifika kipindi ambapo hata majeshi yetu yakipasuka kisiasa au kidini ujue tumekwish kabisa.
Matendo ya Dhulma, mateso, uvunjwaji wa haki za Binaadamu yakizidi mshikamano unaondoka kwenye nchi

Tanzania iko vibaya,hakuna mshikamano kama unavyofikiria

Kuna kulazimishwa ili ionekane kuna mshikamano..

Media zimebanwa,Je ulisikia nini kimetokea Lindi,baada ya Uchaguzi, baada ya Wananchi kugundua kuwa wameporwa haki yao..

Hakuna hata chombo kimoja cha habari kilitangaza ile habari
 
Ndio amani hio kulazimishwa? Je asiekuwa muislam akiwaambia naomba ulinzi wanamlinda?

Isijekuwa hujui tofauti ya amani na uwoga?
Kwani maana ya Terror ni nini ni amani au ugaidi?

Bukhari(4.52.220)
Allah's Apostle said, "I have been sent with the shortest expressions bearing the widest meanings, and I have been made victorious with terror (cast in the hearts of the enemy), and while I was sleeping, the keys of the treasures (kama mafuta au gesi za mtwara)of the world were brought to me and put in my hand."
 
Back
Top Bottom