StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,915
- 8,325
Binafsi mimi ni Mkristo lakini sipendezwi na dhuluma popote kwa yeyote.Uliyoyaandika nikijaribu kutafakari kwa kina naona kuna harufu ya ukweli ndani yake.Attitude ya USA inajulikana.Ya Libya ni mfano mbichi kabisa.Wenyewe wanasema "Amerika kwanza".