~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

mmmh jamani hii hadithi ni nzuri sana Mwanakijiji hongera jinsi navyoendelea kuisoma napata shauku ya kuendelea na kuendelea
Swali ambalo ni tete kwangu ..huyu waziri alimkosea nini mwanamama mpaka ashindwe kumsamehe?
hapo tu ndio nasikitika ..hivi mzee akiamua kujitafutia kadada poa na kuendelea kivyake mkewe atalalamika pale atakapoona mmewe hamsumbui tena kutaka unyumba??
 
well.. kwa kweli hata mimi sijui amemkosea nini.. we will find out kama ataamua kutuambia!
 
MMJ, hicho kibanda cha Mjamaika kiko maeneo hayo uliyosema???? Nitaenda kukisaka mpaka nikione na nimuone mjamaika mwenyewe kama kweli lakini.......................................
 
Asanke MM; yaani inakuwa kama tunaiishi hii stori; Nitakuuuliza swali; Unaompango wa kuzitengenezea movie hizi stories? Manake mie hapa tayari ni picha ya Mjamaika na huyu Mke wa waziri; aah yani safi sana!
 
MMJ, hicho kibanda cha Mjamaika kiko maeneo hayo uliyosema???? Nitaenda kukisaka mpaka nikione na nimuone mjamaika mwenyewe kama kweli lakini.......................................

shauri yako.. unanikumbusha nilivyogombana na ndugu zangu baada ya kutoka kulala na kwenda moja kwa moja kabatini kuangalia zawadi ya biskuti ambazo nilizificha huko kwenye ndoto. NIliamini kuna mtu kaniwahi tu kuzichukua..
 
Asanke MM; yaani inakuwa kama tunaiishi hii stori; Nitakuuuliza swali; Unaompango wa kuzitengenezea movie hizi stories? Manake mie hapa tayari ni picha ya Mjamaika na huyu Mke wa waziri; aah yani safi sana!

NIngeweza lakini bado sijaona waigizaji makini wa kibongo wanaoweza kucheza parts ninazoandika; so kwa sasa zinabakia hadithi tu. Unless nikipata mtu wa kuniconvince vizuri naweza kuandika screen script ya movie kabisa of some of my unpublished stories..
 
Yah mon...how tings a'gwan today mon? Nadhani nina sifa zote za kucheza Mjamaika.....
 
I could not have expected you to say anything beside that.. it has to be "great".. kwa kujipendelea ndugu yangu. Sasa wakija wengine wakitaka kuwa Clementina si utajikuta umejifungia mwenyewe riziki; kama yule mdada "Kind Sepetu"..
 
Mwanakijiji...............Safi sana Nkwingwa.....Nimeipenda sana hii hadithi,imekuwa nzuri hata kabla haijamalizika aisee.....Itabidi tuandae filamu sasa.....Nkwingwa NN awe Mjamaika Freddy 'Rastafari' na Bi 50 Cent awe Clementina a.k.a Mama Renata........Halafu kama vp wewe mwenyewe ndo uwe mheshimiwa sana WAZIRI hahaaaaaaaaaaa........unaonaje???...........Zaidi hongera sana kwa ubunifu huu na asante kwa kutumia muda wako kutuburudisha......Hakika wajua 'kuichezea' lugha yetu adhimu ya Kiswahili......Kudos
 
Mwanakijiji shikamoo...sehemu ya nne lini thatha...............?
Kama kuna movie mie naomba kucheza kama PS wa Waziri Mkubwa ...au H/Girl wa waziri
Balatanda yeye atakuwa yule mzee anayemsindikiza mama waziri kila anakoenda...
hizo sehemu mbili zinanifaa sana..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom