~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

imeisha au bado inaendelea maana jinsi nilivyo na mambo mengi imebidi nirudie kidogo ya jana kuji-update ndio nieendelee na chapter 2, ufanya kama kwenye hadithi za magezetini kuna kuwa na mrejesho kidogo ili msomaji akumbuke chapter zilizopita

sawasawa.. itandelea Jumatano..
 
Mwanakijiji wewe ni kiboko!! Haya sasa tunatiana matamanio na majaribu.
Yaani hapa nimekutamani na nimeshajiweka mimi ndiye Clementina na wewe ndio mjamaika - patamu hapo.
Hapa sasa NN atatoka akilini Lol!!!

toba yarabi! sasa NN ndiyo mjamaica hasa nasikia aliishi pale Kingston...
 
nimekubali Mwanakijiji,
unajua kusimulia,nimependa jinsi unavyojua kutumia tamathali za semi hususani matumizi ya tashbiha na takriri.
Keep it up Mwanakijiji,ninangoja sura zinazofuata,So far so good.
THE SON OF AFRICA
 
toba yarabi! sasa NN ndiyo mjamaica hasa nasikia aliishi pale Kingston...

Aaaah sasa Mwanakijiji wewe ndio mambo gani haya bana...yaani unanipeperushia ndege wangu hivi hivi. Wewe hufai kabisa na haya mashairi yako na hizi hadithi zako. Come on man this is not fair at all.....
 
Mwanakijiji wewe ni kiboko!! Haya sasa tunatiana matamanio na majaribu.
Yaani hapa nimekutamani na nimeshajiweka mimi ndiye Clementina na wewe ndio mjamaika - patamu hapo.
Hapa sasa NN atatoka akilini Lol!!!

Bebi achana na huyo mzee bana...wewe jitayarishe keshokutwa tunaenda zetu Ocho Rios kula maisha.....
 
Aaaah sasa Mwanakijiji wewe ndio mambo gani haya bana...yaani unanipeperushia ndege wangu hivi hivi. Wewe hufai kabisa na haya mashairi yako na hizi hadithi zako. Come on man this is not fair at all.....

NN.. usiwe na tatizo ndio nakupigia debe kichizi Da' Thumuni amekudondokea siku nyingi alikuwa anashindwa kukuambia tu sasa kajilengesha mwenyewe wewe unasukuma tu kama kupulizia kichungi cha sigara. Ukishindwa usinilalamikie.
 
Unajua nini...sasa nimeanza kukumbuka. Kuna siku moja (imekuwa kitambo kidogo) uliniambia kuna mtu somewhere across the pond (?) alikuwa ananiulizia lakini hukusema ni nani. Nahisi ulikuwa unamzungumzia Bi.50.....
 
your memory serves you well!
 
mwanakijiji nakuja na critism ya hii hadithi ......i hope utaichukulia in a good way

ni hadithi nzuri ya mapenzi na nimevutiwa na style ya uandishi ya kumalizia kila sura kwa beti za nyimbo.

hata hivyo kwa vile umekaribisha kukoselewa pia mie nimeona mapungufu haya:-

1) kuna makosa ya kimaandishi mengi mno..........ama neno linajirudia mara mbili, au neno halimalizi, au neno la nyuma na la mbele limeunganika n.k. Inaondosha raha ya usomaji kwa kiasi flani.

2) Uandishi wako kuna baadhi ya wakati unaandika kama kwa kutumia kiswahili cha pwani ( kama watu wa pwani wanapoeleza kitu) , na baadhi ya wakati kinakuwa kiswahili cha bara. Kwa upande wangu huu mchanganyiko wa 'aina' ya kiswahili sounds a bit off na nafikiri ingependeza zaidi ungetupa mtiririko wa hadithi kwa kutumia 'aina' moja ya kiswahili.

3) kwa vile hii kazi yako ina lengo la kuendeleza na kuhifadhi kiswahili, basi unge achana na kutumia maneno ambayo yanatumika kimakosa mtaani lakini hayabebi maana halisi ilokusudiwa au maneno ambayo maana yake halisi ni moja na watu kwa kushindwa kuelewa wanatumia maana nyengine

tunasubiri kwa hamu maendeleo ya hadithi hii
 
jtano asubuhi ndio hii nimejilawa mapema ili nione kama kuna chochote ...moyo umepoa baada ya kukuta nil
Please mwanakijiji tuwekee tuburudike
 
jtano asubuhi ndio hii nimejilawa mapema ili nione kama kuna chochote ...moyo umepoa baada ya kukuta nil
Please mwanakijiji tuwekee tuburudike

itaendelea baadaye leo.. kidogo imenifanya niwe emotional.. nimeshindwa kuendelea.... inabidi nipunguze makali ya mambo fulani; if you know what I mean.
 
Mwanakijiji Mjamaica na Clementina ulikuwa bado hujamaliza kutunga mbona unatukosesha raha lakini?
 
Sehemu ya tatu iko hewani na ni ndefu kidogo ni kama dozi mara mbili.. hope u guys enjoy! Tutaendelea kesho. ANGALIA KWENYE POSTI YA KWANZA!
 
Back
Top Bottom