~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

Nilitaka niweke sehemu ya nne leo.. lakini nimegundua kuna wasomaji wa pole pole wengi. So.. nitaweka hadi mwisho wake muda si mrefu.
 
Mwanakijiji shikamoo...sehemu ya nne lini thatha...............?
Kama kuna movie mie naomba kucheza kama PS wa Waziri Mkubwa ...au H/Girl wa waziri
Balatanda yeye atakuwa yule mzee anayemsindikiza mama waziri kila anakoenda...
hizo sehemu mbili zinanifaa sana..

Hahaaaaaaaaaa.....Yule babu(Mzee Yusuph) ni muongeaji sana dada....inabidi part yake ichezwe na mtu ambaye anaongea sana/mwenye maneno mengi......(mimi si muongeaji).......Kwa humu JF nafasi hiyo inamfaa babu mmoja anaitwa Kigogo.........Mkwere huyu.......hahaaaaaaaa
 
Nilitaka niweke sehemu ya nne leo.. lakini nimegundua kuna wasomaji wa pole pole wengi. So.. nitaweka hadi mwisho wake muda si mrefu.

Utakuwa hututendei haki tunaosoma haraka haraka mkuu.............Kama vp iweke tu leo....Pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz................Ushatuonjesha kitamu hivoo.............
 
Nilitaka niweke sehemu ya nne leo.. lakini nimegundua kuna wasomaji wa pole pole wengi. So.. nitaweka hadi mwisho wake muda si mrefu.

Tuwekee tu ya nne Kaka MMJ tafadhali. unatukatishia utamu bwana.....................kama clementina vile
 
Mwanakijiji...............Safi sana Nkwingwa.....Nimeipenda sana hii hadithi,imekuwa nzuri hata kabla haijamalizika aisee.....Itabidi tuandae filamu sasa.....Nkwingwa NN awe Mjamaika Freddy 'Rastafari' na Bi 50 Cent awe Clementina a.k.a Mama Renata........Halafu kama vp wewe mwenyewe ndo uwe mheshimiwa sana WAZIRI hahaaaaaaaaaaa........unaonaje???...........Zaidi hongera sana kwa ubunifu huu na asante kwa kutumia muda wako kutuburudisha......Hakika wajua 'kuichezea' lugha yetu adhimu ya Kiswahili......Kudos

Balantanda ulijuaje?? Patakuwa patamu hapo!!! Hembu piga picha Mimi, Mwanakijiji na NN ndani ya nyumba - kutawaka moto Lol
 
MM...lunch break huwa naisubiri ili nijisomee sasa leo...:rolleyez:
 
Mwanakijiji weka basi hiyo Sura ya 4 bana..............Usiwaendekeze hao wanaosoma taratibu
 
Niwawekee sasa hivi nadhani hao wengine watakuja mbele ya safari?
 
"panya aliyeshika kiuno mbele ya paka akimpa somo la maadili ya uwindaji."
Aaaaah MM tafadhali upload basi..naamini nao washamaliza kusoma...hii kitu hata slow reader atasoma haraka ati!
afu mbona mmenisahau kwenye casting crew ya hiyo movie...mimi nataka tu sehemu ya mjamaika......!!!!! Naimani NN haniwezi hapo..
 
Mnaosoma pole pole.. changamkeni baaasii!! duh.. mnasoma mstari mmoja halafu mnakunyaw maji?
 
Mnaosoma pole pole.. changamkeni baaasii!! duh.. mnasoma mstari mmoja halafu mnakunyaw maji?

mkuu unajuaje kuna watu bado hawajasoma? nadhani wote tulishamaliza, tunahamu ya kuendelea, duh! wanawake kumbe ni wagumu sana kusamehe, halafu kumpata mwanamke mkali hakuna formula.
 
Niwawekee sasa hivi nadhani hao wengine watakuja mbele ya safari?

Weka babu............Si unajua wengine weekend hii si vibaya tukaisukuma na mambo ya Mjamaika na mama Renata wake.....Hao wengine watasoma tu..........Kwanza hawapo hapa leo...Weka bana
 
Back
Top Bottom