~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, May 14, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  kumbatio.png [​IMG]


  Baada ya miaka mitatu ya kuwa likizo ya kujitakia kutoka kuandika hadithi za "kusisimua" na kufurahisha za visa mbalimbali vya kimapenzi, vitisho na mapambano ninarudi na kisanga kipya ambacho kinatokea kuelekea Siku Kuu ya Muungano. Ni kisa kinachomhusu Clementina, mke wa Waziri mmoja wa serikali iliyoko madarakani. Ni kisa ambacho kitakujia ndani ya siku tano na ni utangulizi wa kisa changu cha kwanza cha kibiashara (commercial work) ambacho kitapatikana kupitia mtandao huu wa JF peke yake. Shigongo once again has been put on notice!!

  NB: Jaribuni kuwaalika watu wengine kusoma hapa ili wajiandikishe JF vile vile, msitume tu kwa watu.. watumieni link.
  * * *

   

  Attached Files:

 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Nitairudia hii; lkn MM mbona fupi ndo inaishia hapo tuu?
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  duh.. hilo ni dokezo tu..
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Twasubiria uhondo.........
   
 5. t

  thesonofafrica Senior Member

  #5
  May 14, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  hii itakua kiboko
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  May 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mjue ni kwa watu wazima tu.. so.. kids stay out of it!
   
 7. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ni kwamba itakuwa kule CHUMBANI KWA WAZAZI (jUKWAA LA WAKUBWA)??
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  May 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hapana itaanzia hapa.. ila huko mwishoni itabidi niitafutie mahali...
   
 9. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #9
  May 15, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wow!haditihi tamu hiyo.Jumatatu ifike haraka...
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Mkulu MMM kama kawaida yako...yaani sihitaji PhD kujua kwamba kisa kinachokuja ni moto.....kama 'muumini' mzuri wa hadithi zako toka enzi nina weza kuguess so...you go man!
   
 11. m

  marymar Member

  #11
  May 15, 2010
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeikubali japo ndo inaanza mungu ajalie j3 ifike
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako MM

  Unajua nilishaacha kusoma hadithi za kiswahili lkn taratibu unanirejesha.
  Asante nasubiri j3
  .
   
 13. JS

  JS JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mwnakijiji tafadhali niko chini ya miguu yako uendeleze kisa hiki hiyo keshokutwa maana kimeninogea tayari.............................nakuaminia
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280

  JS sehemu ipi imekunogea.
   
 15. JS

  JS JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapo kwa kijana wa kijamaica...........
   
 16. K

  Kinombo JF-Expert Member

  #16
  May 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mjamaica feki??
   

  Attached Files:

 17. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ohoo Mungu akubariki; halaafu kulee nyumbani kwako kwa Uncle Sam nimebisha hodi nifungulie mlango basi!e
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  May 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hadi mimi mwenyewe nasisimka imebidi nijipe "vacation" ya ghafla!!!
   
 19. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #19
  May 15, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Nimeipenda jazanda yake, inaonyesha kazi nzuri...inanikumbusha jazanda za E.Kezilahabi
   
 20. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #20
  May 15, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .........Hadithi inaelekea itakuwa tamu hii, leta uhondo MMK.
   
Loading...