~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

MKJJ,
Hadithi hii utakapoimaliza...itisha jopo la critics humu humu JF wafanye book review... tutapata mambo mazuri sana ya kusaidia maishani na hata kwa waandishi watakaopata inspiration kutoka kwako.

Ajabu mie tofauti na wengine wasiotaka hadithi iishe..natamani iishe ulete utamu mwingine.

asante tausi kisa kimeisha niko nakifanyia editing kidogo na kuweka mafuta mafuta, chumvi, ndimu na mdalasini... hata hivyo lazima nitoe onyo:

SEHEMU YA MWISHO - USISOME MAHALI AMBAPO UNAWEZA KUJIKUTA UNAPATA NA MFADHAIKO AU KARIBU NA MTU AMBAYE KATIKA MAZINGIRA MENGINE USINGEJISIKIA KUMDONDOKEA...

So stay tuned...
 
ndo unatutisha hapo au mwanakijiji? wengine cc tunasomea kwa ofc lunch time tea break sasa ntajificha wapi
 
asante tausi kisa kimeisha niko nakifanyia editing kidogo na kuweka mafuta mafuta, chumvi, ndimu na mdalasini... hata hivyo lazima nitoe onyo:

SEHEMU YA MWISHO - USISOME MAHALI AMBAPO UNAWEZA KUJIKUTA UNAPATA NA MFADHAIKO AU KARIBU NA MTU AMBAYE KATIKA MAZINGIRA MENGINE USINGEJISIKIA KUMDONDOKEA...

So stay tuned...

mmmh mbona unatupa warning kali kiivyo?popote pale tutaisoma MkJJ
 
HONGERA SANA MMM
ila nina viwili vitatu vya kuangalia.

  1. Heading na page cover picture zingefaa kuwekwa ktk mfumo wa uchoraji. yaani baada ya photo unapelekwa kwa illustrator anakuwekea ktk mchoro mzuri.
  2. Mbona hao washkaji wanabusiana na wala hawakumbatiani? kuna uwezekano wa kupata picha bora zaidi ya hii?
nimeipenda story kinoma shekhe
 
Hm MMM kwa hadithi hii nimejikuta nimekudondokea ghafla bila kuficha mh!!
 
Dah! hadithi inatufundisha hasa sisi wanandoa. Hawa wasichana wetu nyumbani siku hizi mtu asipojiangalia ndo inakuwa kama yanamkuta Waziri Jonathan. Inabidi nikae umbali wa 1000 miles mbani na house girl wetu. Haya nasubiria kwa Mjamaica nyumbani itakuwaje.
 
asante tausi kisa kimeisha niko nakifanyia editing kidogo na kuweka mafuta mafuta, chumvi, ndimu na mdalasini... hata hivyo lazima nitoe onyo:

SEHEMU YA MWISHO - USISOME MAHALI AMBAPO UNAWEZA KUJIKUTA UNAPATA NA MFADHAIKO AU KARIBU NA MTU AMBAYE KATIKA MAZINGIRA MENGINE USINGEJISIKIA KUMDONDOKEA...

So stay tuned...
Du hii sehemu ya mwisho inaonekana itakuwa kali, tupe uhondo mzee!
 
I knew something like this was bound to happen sooner or later!

But ni kitu chema sana! hongera Mwanajamii1
MJ yaani MMM alivyoichambua fani hii ya mapenzi humu ndani.... unawezajikuta unaomba penzi ati...... kumbe vyote ving'aavyo si dhahabu.
 
Hahahah MJ1 umenichekesha sana .. hata sikutegemea kutoka kwako :humble:
Jamani FL1 atha mie thi nimethema cha moyoni bana??......... maana anavyojua kumpamba huyu mama na ndoto zake za Freddy na Jonathan mh mie nimechoka kabisa ...... Ntakutafuta MMM

(Mh Hope Babu X-Pin hawezisoma maandishi madogo hivi)
 
Hahahahahah unajua jibu....

Saa hii ningekuwa napiga mluzi wa ushindi......

Hahahaaaaaaaaaa yaani wewe you are quick thinker.

Anza basi na wewe kutunga hadithi you never know unawezaukapindua kibao lol.
 
Sijakuelewa kusimulia .......ambayo uliisoma sehemu au kusimulia uliyoitengeneza mwenyewe? lolo

Natengeneza mwenyewe nakusimulia tukiwa sehemu wawili tu! Imagine tupo kwenye kisiwa kati kati ya Pacific sisi tu!
 
Back
Top Bottom