Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 755
hadithi hii ni tamu sana
Je inatufundish nini?
Inatufundisha kwamba tusifanye ngono zembe na watumishi wa ndani!
hadithi hii ni tamu sana
Je inatufundish nini?
nimeisoma hii, je ndio mwisho? mbona bado cjaona kilichofanyika jmos?
kwa kweli kisa mkasa, sasa hapa ndo mwisho?
hadithi hii ni tamu sana
Je inatufundish nini?
Inatufundisha kwamba tusifanye ngono zembe na watumishi wa ndani!
Hadithi inaendelea kunoga, ahsante sana Mwanakijiji lakini chonde chonde isiishie hapo tafadhali.
Pia hadithi hii inatufundisha maisha halisi ya kwenye ndoa, usione watu wanacheka mitaani lakini wakiingia majumbani moto unawaka.
Ndio maana nyumba zinajengwa na mapaa, madirisha na milango kwa maana mambo ya ndani yabakie humohumo ndani msiwape watu wengine faida. Na wanaume (samahani kama nitawakwaza) huwa hawatosheki hata uwape nini, mwenye katabia kake kakupenda kufunua sketi haachi hata awe mwanamke mzuri kama malaika.
Na sie wanawake, wasichana wa kazi tuwe tunawapa uhuru angalau weekend wanatoka kwenda kusalimia jamaa na yeye aweze kupunguza haja zake ama sivyo mtakuta wote mnamuwindia mwanamme huyo aliyepo ndani. Lakini yakikuzidi mmmh kipoozeo muhimu au ndio uombe talaka la sivyo leo BP juu mara sukari mara oooh stroke na unamucha mwenzio anapeta.
Tujipe hongera sisi wanawake huwa tunavumilia sana kwa hawa viumbe na mungu ametupa moyo wa kusamehe lakini tunateseka kama binadamu kwa kutokuwa na uwezo wa kusahau. Inshallah
Mkjj,
Hadithi hii alikufundisha nani?
Usije kutumambia.." adisi hii alinifundisha mwalimu"!
sasa kama alinifundisha mwalimu nisitheme? Ila sikumbuki kwa kweli.. ila mwisho wa hadithi nadhani itabidi niseme tu!
Hadithi hii alimfundisha bibi
Mwanakijiji lete maneno please tuna hamu ya kuona kinachoendelea katika hadithi hii murua.
Mwanakijiji anauma na kupulizia. Nilijua leo ataweka sehemu inayofuata kumbe bado....Dah!
Hivi Masaki huwa unaprint unasoma? au unasomea hapa ubaoni?? nimeshangaa kumbe na wewe ni mpenzi wa hadithi.well done mwanakijiji
MJJ..
Nadani wengi tunasubiria mwisho wa kisa kwa hamu!